Je hawa waandaaji wa Hollywood wametulipa?

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
37,462
78,661
Natazama movie ya Transfomers..Dark of The moon...naona wametumia Location ya mbuga ya serengeti...na Pia Mt kilimanjaro

Je...Wizara/ Idara husika wamelipwa?....
 
hivi nani kakwambia tz tunahitaji kulipwa? acha tu wageni waje sisi tunaenda kuwashangalia wakifanya vitu vyao tena tunafurahi kweli then haoooo. bado taasisi husika inafurahi kutembelewa na wagani eti wao ndo watakuwa mabalozi wazuri huko waendako. hii ndo tz burner.
 
Subiri Movie nyingine inakuja na picha zitaanzia pale Magogoni
5.JPG
hapa ndipo issue ilikua inapangwa!
 
Labda malipo yameenda kulipia ile jingle (nadhani 5 seconds) ya CNN inasema "Hii Ni CNN" huku wakionyesha mlima Kilimanjaro na jina TANZANIA.

Tulizeni mzuka ndo "faida" za Rais kupasua anga!! lol
 
Natazama movie ya Transfomers..Dark of The moon...naona wametumia Location ya mbuga ya serengeti...na Pia Mt kilimanjaro

Je...Wizara/ Idara husika wamelipwa?....

mbona ni movie nyingi tu..ata ile lion king ya disney ulimlima ambo king simba upo serengeti katika upande wa kushoto kama unatokea Arusha.
 
Back
Top Bottom