Je? Hata huko kwenu kuna mgao??

DCONSCIOUS

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
1,269
473
Ndugu zangu swala la mgao wa umeme limeleta matabaka makumbwa mawili kati ya wanao athirika na wasio athirika ,Hii inatokana na selikali kutangaza kuwa mgao utapungua au kuisha kabisa , chakushangaza ni kwamba badhi ya maeneo ya nchi hii hasa mikoa ya pembezoni mgao umekuwa mkali zaidi tofauti na sehemu zingine wana tushangaa ,tutukana na kutukejeri tuki lalamika kwamba mgao unaendelea huku kwetu vijijini.

Hii ni hatari kwa Taifa, swali ni je huko kwenu ni kama kwetu?.
 
Back
Top Bottom