Je hapa Kikwete alipewa cheki ya dola ngapi? Laki Mbili au tatu?

Hivi lakini,how can a person smile on that tukio like he did? He is the bhogas presider ever happen in Tz
 
kweli anatia aibu kwa kuchekelea hivyo amesha hesabu share yake ni dollar ngapi wahusika watamkatia
 
Je hapa Kikwete alipewa cheki ya dola ngapi? Laki mbili au tatu?
View attachment 20210
God knows how boghas this guy is.

Holder wa PhD 3, anavyochezewa kama mwanasesere. Maneno ni 'two hundred thousand' na tarakimu ni '300,000'. Ndiyo maana alikimbilia siasa akajifiche huko kimyaaaaaa!! Anaziogopa hesabu kama ukoma! Huo ni mfano mmoja tu kati ya incidences nyingi anazodanganywa waziwazi.
 
Wako wapi wale wahariri kilongola wa Habari Leo na Uhuru watuwekee front page news heading ya baba yao??
 
Wako wapi wale wahariri kilongola wa Habari Leo na Uhuru watuwekee front page news heading ya baba yao??

Ndugu yangu Said Kubenea tafadhali tena tafadhali sana tuwekee picha hiyo kwenye ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaHALISI ili watanzania wengi wamwone rais wao mpendwa alivyo kilaza.
 
Tuwe Fair Kidogo kwa Kikwete. If asked ningesema hili sio kosa Lake. I stand to be corrected!!

You are right. wasaidii wake walitakiwa kuliona hilo mapema. Kwa maana siamni kama huyo CEO wa EXIM alikuja na hiyo cheque derectly akamkabidhi. I stand to be corrected.
 
Hivi unapokaribishwa "Kama Rais" kwenda kupokea zawadi au kutoa zawadi - hii "dummy cheque" si ni lazima ipitiwe na "wasaidizi" wake hili kuhakikisha kuwa hakuna "misleading" details na yatokanayo?

yes, it is obvious.Kama hawakufanya hivyo, basi protocol ina mgogogoro.
 
Ndugu yangu Said Kubenea tafadhali tena tafadhali sana tuwekee picha hiyo kwenye ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaHALISI ili watanzania wengi wamwone rais wao mpendwa alivyo kilaza.

hiyo picha iliahi kuwekwa ukurasa wa mbele na gazeti la Tanzania daima. Hiyo picha ni ya muda mrefu,kama miaka miwili hivi. Hawa jamaa waliomba msamaha kwa rais na watanzania kwa ujumla...ila kiukweli, mkuu alichemka. Aibu!
 
mnatukana sana lakini ndo hizo hizo zinakusomesheni nyie pamoja na wachumba zenu,dada zenu na wengine wote.shukran ya punda ni mateke
 
kikwete wasaidie tu hawa hawajui walitendalo.wanaamka vinywa vinanuka wanachukua komputa zao na kuanza kuharisha humu
 
hakuna binadam asiyekosea ispokuwa mungu pekee ndo hakosei.cha msingi hapo amepokea pesa kwa ajili ya ada na ma boom yenu wehu nyie.
 
mnatukana sana lakini ndo hizo hizo zinakusomesheni nyie pamoja na wachumba zenu,dada zenu na wengine wote.shukran ya punda ni mateke
 
Sijui huwa wanafanya makusudi...!! Maana hata mke wake naye amewahi kufanya hivyo
 
Haya majamaa ni mabwege eli hivk hiyo cheque iko sahihi kweli? Words imasema 'Two Hundred Thousand Only', halafu namba zinasomeka 300,000... Kumbe siku hizi mbili ni sawa na tatu, halafu na mwingine anachekelea na kuonyesha dole... Duh kweli aisee...
Je hapa Kikwete alipewa cheki ya dola ngapi? Laki mbili au tatu?
View attachment 20210
God knows how boghas this guy is.
 
Je hapa Kikwete alipewa cheki ya dola ngapi? Laki mbili au tatu?
View attachment 20210
God knows how boghas this guy is.

Acheni umbeya, kwa sheria za Tanzania hii ni sahihi. Labda kama hamjui niwape mchanganuo:
200,000 (in words) goes to stipulated Scholarship Fund
100,000 (in numer) goes to His Excellency Hon. Dokta JMK
na 300, 000 ndio total amount.

Unafikiri anachekacheka bure pale?
 
Back
Top Bottom