Je Gwanda za Chadema zinauzwa Mahali..???

Naomba msaada ndugu zangu je kuna mahali popote wanauza gwanda za chadema au ukitaka unajishonea tu mwenyewe???nataka niwe member kamili maana ntajickia furaha sana kama nkipita road nimezivaa, au ni za viongozi tuu??
Mkuu! heshima kwako. Ni kweli wengi tunalihitaji.
 
Kamanda hapo safi sanaaa! Mzee Ritz kumbe unafahamu mahali pakupata gwanda za CDM? Kama vip fanya mpango umtoroke Mshua na wewe uanze kutupia gwanda za CDM. Gwanda za Chadema zinaraha yake bwana.
 
Kuna kitu kimoja tu ambacho makamanda hawanifurahishi. Hivi kwa nini hawavai zile za mabaka mabaka? Manake hizi khaki wanakuwa kama mgambo vile! Zile nyeusi wanakuwa kama security guard flan hivi. Nawashauri watinge zile za mabakamabaka au mnaonaje?

Mjibu muuliza swali hapo juu then swali lako uliza baadae siyo kila kitu unaleta ujuha
 
Kuvaa2 gwanda haitoshi. Je, fikra na falsafa yako ni ipi?
2sivae kaki au kijani kiushabiki bali kwa misimamo yetu!
 
Naomba msaada ndugu zangu je kuna mahali popote wanauza gwanda za chadema au ukitaka unajishonea tu mwenyewe???nataka niwe member kamili maana ntajickia furaha sana kama nkipita road nimezivaa, au ni za viongozi tuu??
Namba za fundi ni hizi; 0715 206047 na 0754 206047... Hapo ndo wanaposhona wabunge wote na viongozi wa taifa wa chadema
 
hiz gwanda ukiuza saiv ni dil kwel, huku arusha ndo ucpme ful wateja, hata skafu zenyewe zishakuwa adimu, demand ni kubwa kuliko supply. Ni dalil njema
 
Kiukweli watu wengi wametokea kuyapenda mavazi ya CDM na hata kuyanunua kwa gharama yoyote, ila upatikanaji wake ndio shida.Ushauri wangu kwa Makamanda ni kuyasambaza hayo mavazi (hata skafu) kwenye kila Wilaya na hata kwenye Kata ili upatikanaji wake uwe rahisi,hii pamoja na mambo mengine itaiongezea kipato chama ili kiweze kujiendesha..Kiukweli watu wanayahitaji sana hayo mavazi na suala la bei wala sio tatizo kabisa..
 
Naomba msaada ndugu zangu je kuna mahali popote wanauza gwanda za chadema au ukitaka unajishonea tu mwenyewe???nataka niwe member kamili maana ntajickia furaha sana kama nkipita road nimezivaa, au ni za viongozi tuu??

mimi nipo mwanza,alakini langu nilipata la mtumba,zipo arusha kwa wingi maeneo ya december bar karibu na mahakama ya mwanzo.
 
Back
Top Bottom