Je Gaddafi hakuwahi kuwatendea mabaya walibya?

Kosa alilolifanya Gaddfi kubwa ni kuacha mpango wa Libya kuwa na silaha za maangamizi kama walizonazo US, mataifa ya NATO, Israel, China , India, Pakistan.

Kosa jingine alilofanya Gaddafi ni kuwekeza fedha 160 billion dollars katika nchi ambazo zimefilisika kiuchumi, hizo hela hazitorudi Libya na badala yake wataambiwa wana deni ambalo milele hawataweza kulilipa.

Kosa la Tatu, alitaka Afrika iwe na veto huko UN na pia alitaka umoja madhubuti wa nchi za kiafrika. Hivi vyote ni tishio kwa nchi ambazo zimezoea kubambikizia nchi changa madeni na zilizozoea kupata maliasili na rasilimali za dezo.

Kosa jingine ni kutokubali kuifanya benki kuu ya Libya kuwa chini ya inter.bankers.

Kosa kubwa ilikuwa ni kutaka kuanzishwa kwa mfumo wa fedha na mabenki ya Afrika. Huu mradi ulikuwa uanze september 2011.

Kosa jengine alilofanya ni kupinga mpango/ mradi wa Ufaransa kuanzisha mediterranean alliance Libya rejects Mediterranean alliance - FRANCE 24

Kosa jingine ni kuwa alizorota katika kufanya reforms za ndani. Ingawaje alishabariki na kuwepo kwa kamisheni ya "contitutional reform" lakini mlolongo wote huo wa makosa (ushujaa) ulifanya aonekana kuwa ni hatari kwa maslahi ya US-NATO. Hata hivyo Libya ilikuwa katika target zamani katika nchi ambazo zilitakiwa zipige magoti kwa US-NATO,kilichokuwa kikisubiriwa ni kisingizio tu. Ilipoanza arab uprising, US-NATO wali-activate plan ya kuivamia Libya na kuipigisha magoti.

Wabenghazi watakapoamka kutoka usingizini watagundua kuwa walifanyiwa mazingaombwe na wameachiwa DOMOkrasia, deni na chuki miongoni mwao.

Libya: All About Oil, or All About Banking?
 
kama wewe unazijua kwa nini usiziweke hapa?
huoni wewe ndo unakurupuka??
Siku zote watanzania ni watu wanaojua sana matatizo ya nchi nyingine na suruhuhisho zake kuliko matatizo yao..
Wewe unafikiri hao wabengazi waliamka tuu wakavuta bangi nakuchukua siraha ? Au mnadharau kila wanalowaambia kama Gaddafi mwenyewe?
 
Back
Top Bottom