Sijui wenzetu wazungu walitumia kigezo gani cha kumfanya, Mugabe na Kikkwete waendelee kuwa hai ila Gadaff auawe?? ni fumbo gumu sana kwangu
Watu waote wanaoshabikia gadafi kuuwawa nadhani hawajui nini kinaendelea!gadafi ni mtu kama wewe, he was not perfect, hakuna raisi ambaye hajaua, na katika ukombozi na harakati zake lazima watu wafe hiyo ipo given, sacrife must be there bandugu, tunachojaribu kuangalia ni je, nato nia yao ni nini?kwa nini ni benghazi na sio serte,na je ni libya tu waliona kuna shida?kwanini ni ukanda wa watu wenye mambo sawa kimfanano?kwanini somalia hawaendi?kwa nini israel na parestina, je yanayotokea yemen hawayaoni??kwanini sadam alishukiwa kuwa na siraha za maangamizi na hawakuziona??je marekani wameua wangapi kuanzia afghanistan, iraq, kongo,sudan, namibia,hata misri wapo nyuma ya hawa vibaraka waliopandikizwa mbegu za chuki??marekani sio watu, uingereza sio haki!msimamo wa gadafi kukataa kuingia mkataba nao kuchimba mafuta, kukataa unyonyaji kwenye mikataba nchini kwake, kuonekana kuwa na nguvu sana barani afrika na kuwa na nia ya kutuunganisha waliona tutakuwa na nguvu ya maamuzi yetu,sio walibya wote wanaompinga gadafi ni kijisehem cha vibaraka wa magharibi! Na hii ni somalia mpya imetengenezwa afrika lengo ni kuona sisi sio wamoja ili wachume mali zetu zote!je watoto wetu wataishi vipi kama hali ndo hii??utumwa unarudi polepole watu wasio na maono wanashangalia kuuawawa kinyama kwa gadafi!ipo siku magahribi watajutia tabia zao ambazo tushazijua na libya watamkumbuka sana gadafi, kwanza walipe deni la nato alafu tuanzie hapo ndani ya mwaka utaona!mungu katupa akili tupamnanue mambo na sio kuchukulia mambo kijuujuu!!!!!!!!!!!!!!!USITEGEMEE UTASOMA AU KUANGALIA TV ZA MAGHARIBI KAMA CNN,BBC NA ZINGINE UONE MAZURI YA GADAFI!!!!!!!!!! MARA MIA MUNGU AKUPE AKILI KULIKO SURA!!!!!
Hata mobutu ni shujaa kama gadafi ni shujaa halafu mandela ni fisadi mwizi dicteta na gaidi.
hapo umenena mkuu, hata mimi nasubiri kwa hamu nione maisha yao baada ya kifo cha gaddafimi nadhani tusubiri then tuangalie kama hawatakimbilia ngara huko kwenye hifadhi!!!!!!!!!!!!!!
Mwarabu sisikitiki mie!!!angekuwa matumbi mwenzangu angalau!Na kwanini nifurahishwe na kifo cha Gadafi?
Gadafi amesha ishambulia Tanzania mwaka 1979 kwa kushirikiana na Id amini...
yuho huyo amejenga msikiti Dodoma....
Wao walimpiga risasi hawakumuua, bali yule malaika wa mauti ndiyo alikuja akaichukua hiyo roho! sasa sijui nani alaumiwenasikitika kwa sababu mwenye kuichukua pumzi ya mtu ni Mungu tu na wala si vingine
Kujenga msikiti siyo taabu, kwani hao waislamu wakifundishwa msikitini kuwa kuiba ni zambi inasaidia kuleta amani na upendo, tatizo ni kuwadharau wakristu!Na kwanini nifurahishwe na kifo cha Gadafi?
Gadafi amesha ishambulia Tanzania mwaka 1979 kwa kushirikiana na Id amini...
yuho huyo amejenga msikiti Dodoma....
Gaddafi alishindwa kuunganisha nchi ya watu millioni 6 tuu akataka kuunganisha Afrika? Ukabila ulitawala sana Libya labda hayo mnayoyasema mengi yalikuwa kwa kabila lake. Haiwezekani watu wachukue silaha na kumtafuta kama nyoka hata kama walisaidiwa , tafuteni habari za upande wa pili sio kukurupuka tuu kuwa maisha ya Libya yatakuwa hivi au vile.