Je Fredwaa wa RFA kafukuzwa kazi au anatatizo gani?

kokudo

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
2,535
1,651
Mimi ni shabiki mkubwa wa huyu jamaa Fred fidelis au maarufu kama Fredwaa aliyekuwa mtangazaji wa RFA je mbona simsikii siku hizi? Ana matatizo gana?

Mwenye habari kamili atujulishe tafadhali.
 
Mimi ni shabki mkubwa wa huyu jamaa Fred fidelis au maarufu kama Fredwaa aliyekua mtangazaj wa RFA je mbona cmckii cku hizi?ana matatzo gana?mwenye habari kamili a2julishe tafadhari

Umesikiliza kipindi chake cha ma-rastaa-farii?
Me nilikipenda kile kipindi cha j2 Je huu ni UUNGWANA? Yaani anongea kwa hisia na manjonjo aina yake!
 
Ninavyockia japo c rasmi jamaa katemwa kama alvyotemwa tido mhando.watakua wamepoteza mtu muhimu sana
 
Mimi ni shabki mkubwa wa huyu jamaa Fred fidelis au maarufu kama Fredwaa aliyekua mtangazaj wa RFA je mbona cmckii cku hizi?ana matatzo gana?mwenye habari kamili a2julishe tafadhari

sikiliza hapa 100.5 times fm utamsikia sawa ndugu.
 
Times ifanyefanye ije mikoani ishakomaa sasa ndan kuna Gadner na Fredwaa ni zaid ya radio
 
Umesikiliza kipindi chake cha ma-rastaa-farii?
Me nilikipenda kile kipindi cha j2 Je huu ni UUNGWANA? Yaani anongea kwa hisia na manjonjo aina yake!

Huu ni ungwana kilikuwa kinarushwa na RFA!!!!? I did not know, ila nafahamu kilikuwa kinarushwa na KBC na mtangazaji mmoja anaitwa Leonard Mambombotela (Len-mambo) miaka ya 1990s,(www.youtube.com/watch?v=d6VFGgqs8Pg‎) Nadhani RFA walikosa ubunifu wali-copy na ku-paste
 
Attachments

  • index......jpg
    index......jpg
    2.9 KB · Views: 1,458
Mimi ni shabki mkubwa wa huyu jamaa Fred fidelis au maarufu kama Fredwaa aliyekua mtangazaj wa RFA je mbona cmckii cku hizi?ana matatzo gana?mwenye habari kamili a2julishe tafadhari

Yupo huku 100.5
 
Huu ni ungwana kilikuwa kinarushwa na RFA!!!!? I did not know, ila nafahamu kilikuwa kinarushwa na KBC na mtangazaji mmoja anaitwa Leonard Mambombotela (Len-mambo) miaka ya 1990s,(www.youtube.com/watch?v=d6VFGgqs8Pg‎) Nadhani RFA walikosa ubunifu wali-copy na ku-paste

ni kweli mkuu. tena huyu anakipindi kwenye kbc tv
 
Back
Top Bottom