WomanOfSubstance
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 956
Masuala ya mali ni mambo ya familia.
Tuendelee na Janvi.
Yakishakuwa ya kifamilia?
ina maana hata kukiwa na dhuluma watu wajifanye vipofu? waliodhulumiwa wasitetewe?
Masuala ya mali ni mambo ya familia.
Tuendelee na Janvi.
Naunga mkono kuwa hii ni issue ya kifamilia zaidi ila public interest sababu Baba ni Mhe. Analipwa kwa taxpayers money hivyo anapoteza sehemu ya his right to privacy ili wananchi wajue public na private conduct yake.
Kuzika kwa kuchoma ni moja ya njia za kisasa za body disporsal with body dignity kuliko decent burial with psychologil comfort on the eyes followed by ghasly decomposition in the cofin as long as it takes place iside the burial chamber and no foul smell comes out, hivyo its ok.
Uamuzi wa creamation naamini merehemu mwenyewe ndiye aliyeamua. Msimlaumu Mrema.
The last factor ni 'the Kenyan wife'. Jamani wanawake wa Kenya ni wakorofi sijapata kuona na kwenye misiba ni wababe mfano hakuna. Nilipota kushuhudia kisa cha Maehemu Mzee John Ondolo pale Sinza.
Mzee Ondolo ni Mjaluo wa Tanzania alioa Mkikuyu wa Kenya wakapata watoto 3. Wawili wa kike na mmoja wa kiume. Mwaka 1967, akahamia Tanzania na kununua eneo kubwa pale Sinza. Miaka ya 70 akatengana na mkewe, mama akarudi Kenya na watoto wa kike, baba akabaki Tanzania na mtoto wa kiume. Baadaye baba akaoa mke mwingine Mtanzania na kupata watoto wengine 3.
Mpaka mauti yalipomkuta, alikuwa na familia mpya na mwanae mkubwa wa kiume akijitegemea na familia yake ila wakati anaumwa, akamgawiya kila mtoto ardhi yake na kusisitiza atazikwa Dar.
Baada ya kutokea msiba, akatoka amri Kenya msizike mpaka Mke wa marehemu afike toka Kenya. Tulingoja for Two weeks tukiambiwa mke anawasubiri mabinti zake toka Marekani ndipo waandamane.
After 14 days, akaibuka binti,pekee na wakati huo tumeshatangaziwa mazishi ni kesho. Siku ya Mazishi, yule binti kwa ujasiri mkubwa na macho makavu, akatangaza, wametumwa na mama yao kuichukua- maiti ya mumewe kumpelekea Kenya kwa mazishi, akitoa hoja yeye ndiye mke wa ndoa in total disregard of subsisting family. Ni ugomvi tena ukalipuka na ugomvi mwingine wakitaka hati za ardhi na milki ya mali zake zote!. Baada ya vuta nikuvute, uamuzi ulifikiwa mazishi yakafanyika Dar lakini maiti ilikaa mortual zaidi ya mwezi, kisa Mke Mkenya. Mrema hili ameamua kuliepuka kwa kumake a long story short kwa kumalizia kila kitu Marekani.
Its real painful. Hivi kweli hata kama mmegombana kuna ulazima wa kuwa maadui hasa kukiwa na viuinganishi kama watoto? Kitengo alichofanya huyu mbunge kweli ni cha kinyama na mtu yeyote asijaribu kutetea kaka kulikuwa na uwezo wa mtu wa kuleta huo mwili.
Kitu ninachokiona hapa si mbunge kumuogopa mke mdogo, ni ubabe wa kinyama ambao hata mwenyezi mungu hapendi na adhabu yake tutaiona hapa hapa.
Mtu mwenye maamuzii ya kipuuzi na kinyama kwa mtoto aliyemzaa mwenyewe kwa umma ni shetani. Mafunzo ni mengi hapa hasa kwa wale tulio ndani ya ndoa, tunatarajia au tuliotarikiwa. Tunapofanya maamuzi tushirikiane hatujui nini kiko mbele yetu au la. Kuachana si kutengeneza uadui, you can keep the friendship to make days longer.
Felix tumuombee, repacation ya kitiu alichokifanya ataiona baadae siyo leo wala kesho, yeye anaona amefanya maamuzi mazuri kumbe siyo.
Mambo ya mali nimesema ni yakifamilia ili nisiexpose too much mgawanyo wa mali za marehemu. In short mke Mkikuyu alimkimbia jamaa kutokana na mambo mbalimbali ikiwemo ni pamoja na jamaa kuwa 'apeche alolo'.Yakishakuwa ya kifamilia?
ina maana hata kukiwa na dhuluma watu wajifanye vipofu? waliodhulumiwa wasitetewe?
Korrection.......
Mambo ya mali nimesema ni yakifamilia ili nisiexpose too much mgawanyo wa mali za marehemu. In short mke Mkikuyu alimkimbia jamaa kutokana na mambo mbalimbali ikiwemo ni pamoja na jamaa kuwa 'apeche alolo'.
Jamaa akapata chungu kipya na akapata mali alizochuma na mama dogo. Ameugua kwa miaka kadhaa akihangaika na mama dogo. Ustaarabu ulikuwa Mke mkubwa aje, wazike na ndipo masuala ya mali yafuatie. Binti alisimamisha kila kitu na kuongea yeye mwenyewe kuwa hakuna kinachoendelea mpaka kieleweke. Mwili ulikaa tena more days kusubiri migogoro iishe.
Mwaka 1967, akahamia Tanzania na kununua eneo kubwa pale Sinza. Miaka ya 70 akatengana na mkewe, mama akarudi Kenya na watoto wa kike, baba akabaki Tanzania na mtoto wa kiume. Baadaye baba akaoa mke mwingine Mtanzania na kupata watoto wengine 3.
Kurudi kwa huyu mheshimiwa. Hivi huyu mke mdogo ni mtu wa wapi? Ni mmarekani? Nisigependa kuamini kuwa mwanamke wa kitanzania ataweza kufikia mahali pa kukataza mtoto wake wa kufikia asizikwe nyumbani!
Mbongo..Mngoni
Pasco,Mambo ya mali nimesema ni yakifamilia ili nisiexpose too much mgawanyo wa mali za marehemu. In short mke Mkikuyu alimkimbia jamaa kutokana na mambo mbalimbali ikiwemo ni pamoja na jamaa kuwa 'apeche alolo'.
Jamaa akapata chungu kipya na akapata mali alizochuma na mama dogo. Ameugua kwa miaka kadhaa akihangaika na mama dogo. Ustaarabu ulikuwa Mke mkubwa aje, wazike na ndipo masuala ya mali yafuatie. Binti alisimamisha kila kitu na kuongea yeye mwenyewe kuwa hakuna kinachoendelea mpaka kieleweke. Mwili ulikaa tena more days kusubiri migogoro iishe.
Bimkubwa,Pasco,
Mbona majibu yako hapa kidogo yanaleta utata katika hili.
1. Dr. Milcah Mrema - mama yake na marehemu- anaishi Arusha miaka yote na anaendelea kufanya biashara na huyo mume wake huku biashara hiyo yeye na mumewe ni part owners, sasa kumwacha mumewe kwa kuwa apeche alolo mbona haielekei katika hili? Labda useme kamwacha kwa mambo mengine
2. Inaelekea huyu mama yuko busy ktk kujitafutia maendeleo na mambo mengine ila kusema kuwa haja-assume uraia wa TZ unatokana na mengi hasa ukizingatia ndoa yake ilipoishia. Ameamua kubaki kuwa Mkenya anayefanya shughuli zake Tanzania, yeye kuomba visa US na kunyimwa itakuwa kutokana na mambo mengine. Akiiwa kama Mkenya na ukizingatia yuko jirani na Kenya na anaendelea ku-maintain passport ya huko, hana udi kurudi kule kuomba visa.
3. hakuna ushahidi kuwa Mrema alimpa divorce huyu Mwanamke na kama ipo basi wenye kufahamu watoe ushahidi. Hili la embezzlement case linanipa utata kidogo, nadhani mtu akifunguliwa kesi kama hiyo na business patner wake lazima akae pembeni, mbona kuna ushahidi she is still running the business.
Ninachoona kuna bad blood between the two people ya muda mrefu. If they had officially divorced I guess things would have been civil. Lakini kwa kuwa kuna strings attached inakuwa ngumu sana. Ila ninamlaumu bwana Mrema. Yeye kwa kuwa ni 'kichwa' alitakiwa kuonyesha mfano kwa kutafuta dialogue na mkewe waweze kusolve haya mambo taratibu wamzike mtoto wao ila kwa kuwa anatumia jeuri yake, basi Mkikuyu wa watu kajitokomea huko. Wangeonyesha ushirikiano toka mwanzo mtoto kapata ajali haya mambo yangeenda kimya. ila wameshindwa, they have so much vested anger. Wanatia aibu na huruma at the same time
Pasco,