Je, familia ya Yusuph Makamba wote ni Masupa Star?

Makamba ana watoto wengi sana. Hao ni wa mama mmoja wa familia bora, wengine wako tanga walimu, mateja na wengine wametoswa......... Waafrika ni kwamba watoto wa mama uliye naye ndio wanaotambulika. Wengine wote ni machokoraa
Kuna dogo mmoja Songea ni katapeli flani kanajiita AMANI YUSUPH MAKAMBA kana dili za kulaghai wafanyabiashara kwa kutumia jina la baba yake kanaishi kwa mmama 1 anafanya kazi baraza la ardhi kalishawahi kufungwa masasi kwa utapeli.inaonekana alikazalia huko kusini
 
Huyu Dogo namfahamu saaana,ukikutana naye anatoa Kitambulisho cha Mkapa Foundation lakini kinaonekana cha kugushi... Serengeti Bar na Chini ya Muti ni maeneo yake...
 
Watanzania bwana, kiongozi watoto wake wakiwa vilaza mnaongea oo mwl nyerere hakuwatendea haki watoto wake, wakiwa mastar gumzo, oo! Ona kasri la mwamvita. Wabongo bwana mnafurahisha sana.
Na bado hawamalizi mara baba mwanaasha utafikiri wao au watoto wao ni maginius. au wao walipasua hicho kidato kimoja. au kuna mzazi anayemtuma mtoto wake akafeli?
 
Mimi namjua thruwein Makamba naye Dogo Mtata sana Jamaa Alikuwa Pugu High School ni balaa
 
Huyu Dogo namfahamu saaana,ukikutana naye anatoa Kitambulisho cha Mkapa Foundation lakini kinaonekana cha kugushi... Serengeti Bar na Chini ya Muti ni maeneo yake...
Huyo dogo anaitwa Juma ndo jina lake halisi, kwao Tunduru namjua yeye mpaka familia yake, hana uhusiano na Mzee Makamba hata kidogo ni tapeli hatari.
 
Kuna dogo mmoja Songea ni katapeli flani kanajiita AMANI YUSUPH MAKAMBA kana dili za kulaghai wafanyabiashara kwa kutumia jina la baba yake kanaishi kwa mmama 1 anafanya kazi baraza la ardhi kalishawahi kufungwa masasi kwa utapeli.inaonekana alikazalia huko kusini
Sio mtoto wa Makamba ni tapeli tu mi namjua fika.
 
Mimi namjua thruwein Makamba naye Dogo Mtata sana Jamaa Alikuwa Pugu High School ni balaa

Thuwein alikuwa na utata gani zaidi ya kucheza basketi, kwanza huyo dogo watu wanamsubiri awe maarufu wamlipue. Ana kasha ya kuwa na papers form 4 na zilikuwa real, alivyokilaza akawa anaingia na booklet kabisa sijui hata alitoa wapi kipindi mshua wake akiwa RC DSM.
Acheni kutoa sifa za kijinga, dogo wa kawaida sana tu!
 
Ni kweli mkuu dogo alizipata karibu zote akasolve na mabishoo wenzake but at last tulipunch pamoja form five ila bahati mbaya huwezi kumlipua kwa ishu hiyo sababu haina ushahidi itabakia kama story tu sanasana utaonekana unamletea majungu kwa mafanikio yake si unajua kibongobongo!!
 
223376_110186995735465_100002324956403_106077_4969623_n.jpg
thuwein.JPG amewezaje kupata masters Marekani? au ndo wizi wizi ule ule?
 
Hahahahahaaaaaaa kweli mmbishi nilisikia ana rasta mbona sizioni!??
yupo National Institute of Medical Research kama Research Scientist, ni kweli huyu jamaa alikua anaibia au skendo tu? manake Tulane hua hawapokei vilaza na asingeweza ku-graduate
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom