Je F.Mbowe anafaa kuwa RAIS?

Ni ukweli usiopingika kwa sasa anasaidia ku make things moving mpaka hapo watu wenye uwezo wakakapo surface, who knows some wapo humu humu JF, time will tell......

..masatu,

..hii ina-make sense kuliko hata swali lililoulizwa na mtoa hoja.
 
wanasema eti baba yake aliuliwa na Nyerere
m36.jpg

..yaakhrabi toba!
 
Tunaomba FREEMAN atuonyeshe lile RANGE ROVER VOGUE kalinunua toka kwa nani na kwa kiasi gani na alilipia kodi kiasi gani?

Maana mwenye gari lake anajua kuwa rgari liliibiwa sasa huyu kweli anafaa kuwa RAIS wetu?

..ameshindwa kwenda polisi,kama anafahamu jamaa analo?
 
Nani alikuambia kuwa chadema wanahangaika na umbea na mambo ya majungu kama haya. Hapa wanasisiemu watajikuta wenyewe tu wakijadili umbea wakati wanachadema wakihakikisha migodi ya madini iliyouzwa na ccm ikirudishwa kwa wananchi.

Ohh, nimekumbuka hii mada imeanzisha ili kuonyesha kuwa hapa JF ni chadema kama baadhi ya watetezi wa mafisadi sisiemu wamekuwa wakipondea hapa --- ukianza na mstahiki, zomba, masatu, mtu wa pwani, pundamilia,--- yaani watetezi wa mafisadi tupu ndio wamejaa hapa. Kisha ukatoa wazo hapa kuwa hii thread ihamishwe ili waanze kupiga makelele kuwa thread yao imehamisha na Mods wamekuchunia hili wazo lako....

Mods wana akili kuliko ulivyodhani enhee?

Talk abt having multiple logging....
 
Naomba nionyeshe wapi nilipotetea fisadi!
 
..ameshindwa kwenda polisi,kama anafahamu jamaa analo?

aliyeibiwa gari ni mdosi na waliolisafirisha lile gari la wizi walilipeleka HOLLAND ndipo liliposafirishiwa

Mbowe alisema kuwa kazi ya INTERPOL bongo wamwachie yeye ataisort out

sasa anazungusha mjini lakini mjue kuwa lile gari ni la wizi halafu anataka kuwa rais
 
Wewe hata kinachoendelea bungeni kinakupiga chenga. hoja ya kutolewa Lowassa aliianzisha Slaa? wewe kweli unaugonjwa, huku uswahilini tunauita wa "mahaba" sijuwi huko bara mnauitaje? hoja ya kihistoria kwa Tanzania ilianzishwa na... tafuta ujaze hapo ukishindwa tutakusaidia.

Mkuu Zomba,

Hakuna anye-question haki yako ya kuandika hapa Jf, isipokuwa tatizo ni hoja zako,

1. Kinachoendelea bungeni ninakielewa mkuu, upinzani huanzisha hoja ambazo baadaye CCM huamua kuzijibu either kwa maneno au kwa vitendo, baada ya mashambulizi ya upinzani yaaani ya kina Slaaa, dhidi ya ufisadi, CCM walijua kuwa kuna mengi yanakuja ndio maana wakaanza kujitayarisha na hata kulishughulikia hili la Richmonduli, ninaomba kukuuliza bila upinzani bungeni CCM wangelishughulikia hili? Ndio maana ya kushinikizwa mkuu, maana sio ni yako ila unalazimishwa na another force, kwa hiyo hapo huna hoja mkuu.

2. Hakukuwa na hoja ya kutolewa Lowassa, isipokuwa aliamua mwenyewe Lowassa, kukimbia ripoti, akiogopa wabunge hasa wa upinzani, iwapo ile ripoti ingejadiliwa pale bungeni, kwa hiyo hiii nayo hata unachosema huelewi ni nini mkuuu!

3. Kuhusu ugonjwa, nafikriri ni very clear kuwa betweeen mimi na wewe nani hasa anaumwa, sihitaji hata kuigusa zaidi hii hoja maaana maneno yetu yanajisema yenyewe nani anaumwa.

Mwanzoni ulipoingia hapa JF nilidhani you are for real, kumbe ndio haya....salaam zao mkuu!

Ahsante Mkuuu!
 
Mie nadhani ni wengi hamjafahamu falsafa ya Kikwete bado, mambo mengine tuyaache, tutabishana tu. Simply, the whole saga was/is best for the country and its historical no matter who started it. Mie simply najuwa aliyeanzisha ni mtowa hoja.

Kuhusu mbowe mnhhh mnhhh, u Raisi? No No No.
 
Nilikuwa namtangaza kwebye Star TV,Sijaona kama anaupeo mkubwa wa kuongoza nchini kwa jinsi alivyokuwa akilichambua Baraza la Mawazir.Mrema could a better Rais zaidi ya F.Mbowe.

wewe unawemaje?

Huyo Mkapa the so called 'Mr Clean" aliyeonekana anafaa kuwa Rais alikuwa fisadi wa kupindukia na hata kujibu maswali kuhusu kashfa mbali mbali za aliyoyafanya akiwa madaraka anakwepa. Kwa hiyo pamoja na Mbowe kushindwa kulichambua baraza la mawaziri kama ulivyotaka wewe, bado anaweza kabisa kuwa Rais mzuri kuliko Kikwete na fisadi Mkapa.

Urais siyo kujua kulichambua baraza la Mawaziri bali ni kuwa mtendaji mzuri, ufuatiliaji wa hali ya juu na kuhakikisha hatua madhubuti zinachukuliwa mara moja pale ambapo kutathibitika kuna uzembe, wizi au ufisadi.
 
Mie nadhani ni wengi hamjafahamu falsafa ya Kikwete bado, mambo mengine tuyaache, tutabishana tu. Simply, the whole saga was/is best for the country and its historical no matter who started it. Mie simply najuwa aliyeanzisha ni mtowa hoja.

Kuhusu mbowe mnhhh mnhhh, u Raisi? No No No.

Tuhabarishe kuhusu falsafa ya Kikwete(if any). Ninachohafahamu ni kauli mbiu yake ya ARI MPYA, KASI MPYA iliyoshindwa. Umahili wa Vascodagama ulitakiwa kuonekana kwenye uhalisia wa maisha ya watu na siyo kuongezeka kwa Mikataba mibovu. Blanket statement hazisaidii sana unless you are not writing objectively. Lazima tuwe na vigezo vya kumpima mtu kama anafaa Urais. Lakini tukianza ku-generalise kuwa ufuska nadhani hapa hata JK yupo; ufisadi yeye ndiye Ball-Juggler na ndiyo maana Kamati ya Mwakyembe iliambiwa isichunguze IPTL. Nadhani watu wengine wanaandika ili kuongeza wingi wa posts bila kujali maudhui na mantiki ya post hiyo.
 
Tunaomba FREEMAN atuonyeshe lile RANGE ROVER VOGUE kalinunua toka kwa nani na kwa kiasi gani na alilipia kodi kiasi gani?

Maana mwenye gari lake anajua kuwa rgari liliibiwa sasa huyu kweli anafaa kuwa RAIS wetu?
Hayo mabilioni yanayochukuliwa mbele za macho ya jk na kuendelea kuwateua wengine ambao bado wana kashfa za ufisadi kwenye baraza la mawaziri ndio sifa a kuendelea kuwa raisi?
 
Ni kweli vigezo vya kumpimia mtu ni lazima vijitoshereze,ila huyu jamaa mimi naona ni bomu,ufuska katika biashara yake ni doa,wabunge wote wa viti maalum wa Chadema si wanatoka upande wa kule kwake? Je Chadema haina watu upande mwingine wa nchi? Tabasamu la Muungwana watu walililalamikia,mmeona nyani walivyolamba shamba letu kinoma yeye bado anacheka.Tuweni makini
 
Maadili, disko inakubalikika. na ufuska Jee? au hujaona wanavyojiuza pale mbowe? na yeye anashadidia? angekuwa anajali maadili angefanya biashara isiyoweza kutolewa kasoro. Lakini, lisikutishe hilo, biashara ile kairithi kutoka kwa baba yake!

Mwinyi ni fuska. Mbona alipopewa urais hukulalamika? Kikwete je?
 
Mugo"The Great";143601 said:
Tuhabarishe kuhusu falsafa ya Kikwete(if any). Ninachohafahamu ni kauli mbiu yake ya ARI MPYA, KASI MPYA iliyoshindwa. Umahili wa Vascodagama ulitakiwa kuonekana kwenye uhalisia wa maisha ya watu na siyo kuongezeka kwa Mikataba mibovu. Blanket statement hazisaidii sana unless you are not writing objectively. Lazima tuwe na vigezo vya kumpima mtu kama anafaa Urais. Lakini tukianza ku-generalise kuwa ufuska nadhani hapa hata JK yupo; ufisadi yeye ndiye Ball-Juggler na ndiyo maana Kamati ya Mwakyembe iliambiwa isichunguze IPTL. Nadhani watu wengine wanaandika ili kuongeza wingi wa posts bila kujali maudhui na mantiki ya post hiyo.

Falsafa ya kikwete, nadhani umeona na ni shahidi kwa kuishi kwenye awamu inayofichuwa mafisadi, Jee, huyaoni haya? Na katika awamu gani tuliona mafisadi wakifichuliwa kwa Ari na Kasi kama ilivyo katika awamu hii?

Simply, hakuna...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom