Je F.Mbowe anafaa kuwa RAIS?

My hatred to nyerere is not personal, remember! I hate him because he killed, intentionally or not many poor souls during his reign, he made Tanzanians educational poor, economical poor, and yet he could laugh and make others laugh with his wit, imagine what kind of a person is he? to me he was simply, evil.

Zomba umesoma wapi na Watanzania wengine wamesomea wapi akina sisi hadi leo tuko hapa ? Mimi nimesoma enzi za Mwalimu si Mwinyi wala Mkapa .Nasema chuki zako ni mbaya sana .
 
mbona adolf hitler aliiongoza ujerumani na kuwakamua mavi wahayudi waliojiita taifa la mungu?
mbona Idd Amini aliiongoza Uganda na mpaka sasa Uganda ina uchumi mzuri kuliko Tz ya Nyerere mwenye akili timamu?
mbona bush na ulevi wake anaiogoza US na anakuja hapa tunampayukia?
machiz ndio viongozi wazuri bwana. sio akina nyerere waliongoza lakini wakatuachia umaskini na viongozi vichaa?
tunaitaji sura mpya.
biashara yake inamwingizia fedha za kuweza kuhimili mikikimikiki ya uchaguzi.
mnafikiri akiifunga ile bilkanas umalaya utaisha bongo? yeye ni mmiliki na sio mwendeshaji. mbona hamuongelei biashara zake nyingine?
koma koma komeni na muikome chadema yate vijana wa kizazi kipya.
ijadili CCM inayowaingiza malaya bungeni viti maalumu kwa kupokea uroda.
 
Ukweli ni kwamba inasikitisha sana wanapoandika the shallows hapa JF, na kujaribu kuvihusisha vyama vya siasa nchini behind their low IQs,

Freeman, kama anaweza au hawezi kuwa rais sijui, ila one interview kwenye TV tena ya bongo, sidhani kama ndio inaweza kuwa the litmus test ya urais wetu bongo,

Kitila Mkumbo, yes ni one of greatest kichwa ndani ya hii forum, with a great future in our bongo's politics, but, it is Freeman, aliyei-elevate Chadema to the national level kuweza kuwapa platform kina Slaa na Zitto, kusikika na kuanzisha hoja zilizoishia kuwashinikiza CCM kumng'oa Lowassa, na wenziwe!

Mkuu wangu Mtu Wa Pwani, be careful na the low minds maana wewe ni mtu makini.
 
Nini sababu ya F Mbowe kuvaa mangwanda yenye mifuko mikuwa kama Mgambo wa Savimbi?
 
U

Kitila Mkumbo, yes ni one of greatest kichwa ndani ya hii forum, with a great future in our bongo's politics, but, it is Freeman, aliyei-elevate Chadema to the national level kuweza kuwapa platform kina Slaa na Zitto, kusikika na kuanzisha hoja zilizoishia kuwashinikiza CCM kumng'oa Lowassa, na wenziwe!

Ushauri wangu kwa Kitila ni kwamba kuwa makini sana na matamshi yako, maana wewe ni next national leader, kwa sasa hatujuli cheo gani? lakini tunamaanisha vile vyeo vya Jamhuri ya Muungano... watu wanadhani nimesema hivyo kwa sabau ya hapa JF, lakini hapana nadhani nakufahamu kabla ya hapa!!!

Kwa hiyo jiandae nasi tutakuandaa kwa hili..

Nikiangalia pale CHADEMA nakuona wewe!!! wengine wapo lakini nakuona zaidi wewe.... at least kwa hili naomba kuwa Sheikh Yahya.
 
Wewe una chuki binafsi, na karibu tutakuchoka kukusoma, utakuwa unaandika na kujisoma mwenyewe, ndio raha ya JF!

Acha upuuzi wewe...miminimeuliza swali..mbona watu wanaposema kuhusu viongozi wengine haiwi chiki binafsi..na kama umefwatilia mimi sina upendeleo wa chama chochote...kama nnaswali nauliza,dukuduku nnatoa..tatizo lako nini?embu nieleze
 
Tunaomba FREEMAN atuonyeshe lile RANGE ROVER VOGUE kalinunua toka kwa nani na kwa kiasi gani na alilipia kodi kiasi gani?

Maana mwenye gari lake anajua kuwa rgari liliibiwa sasa huyu kweli anafaa kuwa RAIS wetu?
 
Zomba umesoma wapi na Watanzania wengine wamesomea wapi akina sisi hadi leo tuko hapa ? Mimi nimesoma enzi za Mwalimu si Mwinyi wala Mkapa .Nasema chuki zako ni mbaya sana .

Chuki zangu si mbaya ni za haki kabisa, ikiwa leo watu wamefisadi mashine za umeme sote sisi tunawachukia na hakuna anaependezewa kwa hilo, Jee, kufisadi roho za watu na kuwatia kwenye lindi la umasikini (gdp ya Tanzania ilikuwa inashuka kwa average ya 0.03% kwa mwaka awamu ya kwanza), na na na... unataka nimpende? au wewe unampenda mtawala namna hiyo?
 
Tunaomba FREEMAN atuonyeshe lile RANGE ROVER VOGUE kalinunua toka kwa nani na kwa kiasi gani na alilipia kodi kiasi gani?

Maana mwenye gari lake anajua kuwa rgari liliibiwa sasa huyu kweli anafaa kuwa RAIS wetu?

Kama hiyo ni kweli, hafai hata kukaribishwa Ikulu wacha kuwa Rais, kwani ikulu ni mahali "patakatifu" according to nyerere.
 
mbona adolf hitler aliiongoza ujerumani na kuwakamua mavi wahayudi waliojiita taifa la mungu?
mbona Idd Amini aliiongoza Uganda na mpaka sasa Uganda ina uchumi mzuri kuliko Tz ya Nyerere mwenye akili timamu?
mbona bush na ulevi wake anaiogoza US na anakuja hapa tunampayukia?
machiz ndio viongozi wazuri bwana. sio akina nyerere waliongoza lakini wakatuachia umaskini na viongozi vichaa?
tunaitaji sura mpya.
biashara yake inamwingizia fedha za kuweza kuhimili mikikimikiki ya uchaguzi.
mnafikiri akiifunga ile bilkanas umalaya utaisha bongo? yeye ni mmiliki na sio mwendeshaji. mbona hamuongelei biashara zake nyingine?
koma koma komeni na muikome chadema yate vijana wa kizazi kipya.
ijadili CCM inayowaingiza malaya bungeni viti maalumu kwa kupokea uroda.

Kinachoongelewa hapa ni Mbowe na siyo CHADEMA, kila mmoja wetu hapa anaheshimu kuwa CHADEMA ni chama cha siasa kilichosajiliwa ki-halali. koma kupayuka bila kuelewa usemacho.
 
Mbowe namuweka kiporo,

Lakini kwa vigezo vya ufuska na kutotimiza ahadi basi hata Kikwete hafai kuwa rais.
 
Kama hiyo ni kweli, hafai hata kukaribishwa Ikulu wacha kuwa Rais, kwani ikulu ni mahali "patakatifu" according to nyerere.

Mjomba hii issue haina KAM ni KWELI

range rover vogue analoendesha FREEMAN ni la wizi liliibiwa LONDON na likasafirishwa kupitia HOLLAND dereva alilipwa paundi £2000 toka London...FREEMAN alisema kuwa mambo ya INTERPOL kule Bongo atayasort out

sasa leo hii anata kuwa RAIS...the man is a HUSTLER kama DIALLO na sidhani kama Politics ni mahala pake na kila ninapomsikia anazungumzia mambo ya UFISADI NAJIULIZA hivi ni FREEMAN huyu huyu anayejihusisha na ma criminals wa London au mwingine?

Sasa najua kama JJ MNYIKA atakuja ...na mshauri JJ ambwambie FREEMAN amlipie hiyo shule pale London school of distinction badala ya kuja kubishana humu

Ukweli ni kwamba inasikitisha sana wanapoandika the shallows hapa JF, na kujaribu kuvihusisha vyama vya siasa nchini behind their low IQs,

Freeman, kama anaweza au hawezi kuwa rais sijui, ila one interview kwenye TV tena ya bongo, sidhani kama ndio inaweza kuwa the litimus test ya urais wetu bongo,

Kitila Mkumbo, yes ni one of greatest kichwa ndani ya hii forum, with a great future in our bongo's politics, but, it is Freeman, aliyei-elevate Chadema to the national level kuweza kuwapa platform kina Slaa na Zitto, kusikika na kuanzisha hoja zilizoishia kuwashinikiza CCM kumng'oa Lowassa, na wenziwe!

Mkuu wangu Mtu Wa Pwani, be careful na the low minds maana wewe ni mtu makini.

Wewe hata kinachoendelea bungeni kinakupiga chenga. hoja ya kutolewa Lowassa aliianzisha Slaa? wewe kweli unaugonjwa, huku uswahilini tunauita wa "mahaba" sijuwi huko bara mnauitaje? hoja ya kihistoria kwa Tanzania ilianzishwa na... tafuta ujaze hapo ukishindwa tutakusaidia.
 
Tatizo hapa sio Mbowe, Lowassa au etc...

Tatizo nchi yetu haina namna ya ku-screen viongozi especially wa kitaifa, mtu yeyote anaweza lipuka akawa na sifa moja, watu wakasema anafaa kuwa Rais, mimi sitashangaa baada ya Dr. Slaa kutoa mabomu ya Kutosha Watanzania watasema anafaa kuwa Rais, Kama ilivyokuwa kwa Mrema... ati alikuwa anafaa kuwa rais na wengine wanasema asingeibiwa kura... angekuwa ndiye rais wa Jamhuri.

Mimi naona nchi hii hatuna criteria ya kujua kiongozi mzuri...?
tunafanya kama mchezo ya luninga ya ITV unaitwa bongo star search... Majaji wanalipuka tu jinsi wanavyotaka,,, kuna siku mara huyu aseme nakupenda sana, mwingine najisikia vibaya hata kukuona,,, mwingine anasema aisee wewe ni kiboko... lakini wote majaji... criteria nadhani sio majaji wala washabiki wanaofahamu sheria za mchezo...

Kwa hiyo nasisi mijadala imekuwa mingi sana kwenye huyu anafaa huyu hafai... lakini hakuna consistence metrics... Mara Range rover, mara aliniibia mke wangu, mara shuleni alikuwa anadesa... mara ni mfanyabiashara, mara aliacha upadre ili mradi kila mtu anakuja na la kwake!
 
Mjomba hii issue haina KAM ni KWELI

range rover vogue analoendesha FREEMAN ni la wizi liliibiwa LONDON na likasafirishwa kupitia HOLLAND dereva alilipwa paundi £2000 toka London...FREEMAN alisema kuwa mambo ya INTERPOL kule Bongo atayasort out

sasa leo hii anata kuwa RAIS...the man is a HUSTLER kama DIALLO na sidhani kama Politics ni mahala pake na kila ninapomsikia anazungumzia mambo ya UFISADI NAJIULIZA hivi ni FREEMAN huyu huyu anayejihusisha na ma criminals wa London au mwingine?

Sasa najua kama JJ MNYIKA atakuja ...na mshauri JJ ambwambie FREEMAN amlipie hiyo shule pale London school of distinction badala ya kuja kubishana humu

BRAZAMENI

Jamani ndo maana napenda JF!

Brazameni- je una ushahidi wa haya unayoongea?

Yasije yakawa ni majungu!
 
Maadili, disko inakubalikika. na ufuska Jee? au hujaona wanavyojiuza pale mbowe? na yeye anashadidia? angekuwa anajali maadili angefanya biashara isiyoweza kutolewa kasoro. Lakini, lisikutishe hilo, biashara ile kairithi kutoka kwa baba yake!

..kama ni ufuska mbona mafuska wengi. mpaka wamekuwa mafisadi!
 
Mugo"The Great";143131 said:
Lete Vigezo vya Rais bora, then from there tutaweza kumpima Mbowe. Siku zote evaluation hufanyika baada ya ku-set Criteria na indicators, otherwise argument zitakuwa hazi-hold water.

..haswaaaa!

..halafu,hata huyo akiwa bora [wakati huo urais hajaupata] hao wengine atawapata wapi? ni ukweli usiofichika kwamba,upinzani viongozi ni wachache sana! na hili ndilo linawaangusha zaidi.
 
Back
Top Bottom