Je! Elimu yetu inajitosheleza!

Saikim

New Member
Aug 4, 2011
3
2
Serikali yetu inajitahidi kuboresha elimu lakini bado haijaweza kumudu mahitaji ya watanzania ambao wanahitaji kusoma hivyo haina budi kuweka mipango ya baadae ya kimaendeleo kabla mambo hajakuwa magumu zaidi.
 
Back
Top Bottom