Je elimu ya vyuoni ni ya kumeza notice au kuna kuna kuelewa ndani yake?!

Kama unataka kuelewe kasome Medicine, Engineering ( Course zote zenye practical). Ila hizi nyingine ni kumeza kwenda mbele, ukishakuwa na course outline hauhitaji kwenda kwenye kipindi, unakuwa ka unasoma Open University.

hapa umesema kwl yan coz outline ukiipata bas wasubiria UE tu na kucklzia mwalimu katoa vitin bas darasan unaagaa maana hakuna jipya...
 
elimu ya chuo japo iko applicable sana kwny maisha ya kila siku sema stail ya ufundishaj na ugawaj notsi mhhh uko ovyo tu so mwendo wa kumeza ukipenda elewa kwa faida yako ila unakuta mwalimu anataka uweke alicho fundisha sasa wategemea nn apo zaid ya kumeza ukijidai umeeelewa sana ukaleta na we vyajo ulivyo google lecturer havijui imekula kwako..
Kumeza kwanza kuelewa ofisin...
 
kila mtu ana uelewa na uwezo taofauti, kwani hata huko o na A level sio wote ni wamezaji, waelewa wapo pia
 
Inategemea na ufundishaji wa Lecturer,kuna malecturer ambao kama hauingii darasani itakula kwako,kwani wao uwa wanatoa kwenye mtihani kile walichofundisha. Ila kuna wengine hata ukiingia darasani au usipoingia inakuwa sawasawa tu. Ilimradi uwa anatoa Hand out. Kwa hiyo ukiwa chuo ni lazima uwe unaijua system ambayo mwalimu anatumia.
 
Back
Top Bottom