Je, Dunia ilianzia Mashariki ya Kati?

Mkuu ni kweli dunia ya uhai tunayoizungumzia kwa imani zetu hususan uislam, ukristo na uyahudi imeanzia middle East na ni kweli kuwa Adam na Hawa walipo-descend from heaven it's believed they landed somewhere on top of mountain (Btwn Asir&Hejez mountain) running along soudia Arabia and the dead sea.

Na kwa mukhtasari hapa eneo lote la Israel and Palestine , Western Jordan, Sinai Peninsula in Egypt , southern Syria , Lebanon, Iraq, Soudia Arabia eneo lote hili ni holy land na manabii/Mitume wote wametoka hapo

Pia no where on earth is more sanctified than the segment of the middle east and it's where main monotheistic faiths believe, God entered into a relationship with the human race.

Eneo hili is the ruins of the world's oldest civilisations. It's a strategic locations , at the junction of Africa, Asia and Europe, made it a corridor between east and west. HAPO NDIPO MAISHA YA MWANADAMU HAPA DUNIANI YALIPOANZIA
Hizi ngozi nyeusi zilitokea wapi wajamen
 
Ambaye ni Adam? Lilith? Eva? Au huyu wa Olduvai gorge? Je nafasi ya Babylon na Eden nk nk zinakaa wapi kwenye hili? Je Unazungumzia kwa muktadha wa historic world au pre-historic ?
Mkuu, Afrika tumeamua na sisi tuandike historia yetu wenyewe itakayotupendeza. Tunakuomba utuunge mkono mkuu. Kule upande mwingine Mohamed Saidi naye yeye ameshamaliza kuandika historia yake mpya ya Tanganyika na Tanzania anayoitaka yeye na tayari ameshaifundisha sana.
 
Na hoja ndio hoja yangu tusitweze na tafiti za wazungu na kuzikubali tu kuwa ni za wazungu tuwe watu wa kuhoji na kama mwanzoni hakuna waliohoji basi ni zamu yetu sasa nasi kuhoji japo kupitia JF
Naanza kuiona hoja yako hapo. Ni kama vile mzungu anamsaidia Mwafrika kuandika history mpya ili kumfarakanisha na wale wa Mashariki ya kati kwa lengo la kuua utawala na nguvu ya kihistoria ya mashariki ya kati
 
Watu wengi hawapendi kudadisi bali kuendelea kuamini walichoaminishwa. keep it up bro mshana jr
Twende nao mdogo mdogo tu wataelewa...kama sio leo basi kesho au siku nyingine...maandishi hayafutiki na neno haliendi bure
 
Mi nakubali dunia ilianzi huko...Adam ndiye binadamu wa kwanza kuexist....Biblia inasema alibarikiwa watoto wengi wa kike na wa kiume,ambao probably walioana ili kuijaza dunia..wakasambaa katika uso wa dunia,Historia ikaenda mpaka kwa Nuhu,ambaye alipata watoto wa 3,Mmoja wa watoto ni baba wa wa kushi(Ethiopia na maeneo mengine ya Africa..laana aliyopewa na baba yake ilipelekea kuzaa mtoto mweusi,Shem alibaki huko huko na ndio baba wa watu wa Asia..wakati Japhet ni baba wa wazungu
daah kumbe sisi weus ndo kizazi cha laana
 
Je israel ni waarabu au wazungu??!!waisrael ni jamii ambayo ina dini zote waislam,wakristo,pagan,yahudi nk.
Waisrael ndo waliishi mwanzoni hapo palestina na ndo yalikuwa makazi yao kabla ya kutokea njaa zama za yusufu kitu kilichopelekea wakimbilie misri kwa ndugu yao waliemtesa yusufu.huku nyuma wapalestina katika pitapita kutoka sham na saudi wakakuta mji uliotelekezwa hivyo wengi wao wakaweka makazi hapo kwa makarne mengi hadi kipindi cha musa kuja kuwatorosha na kupasua bahari wakimkimbia farao aliekuwa anawaua waisrael.
Kurudi kwao wakakuta waarabu wamehamia hapo na wakipaita falastini hapo ndo vita hadi leo haiishi ya kugombea ardhi.
yaani mgogoro wa israel na palestine discussion ilitakiwa ianzie hapa mkuu.
 
Usiikubali hiyo propaganda chafu hata siku moja
ofcoz not,ila kuna umuhimu wa wale wenzetu wanaoabudu mabudha watuambie mafundisho yao yanasemaje kuhusu binadamu wa kwanza na mambo kama hayo,labda tukija kuweka pamoja na what chrustians na muslims tulivyofundshwa inaweza kutufunulia mengi ambayo hatujayafaham bado
 
yaani mgogoro wa israel na palestine discussion ilitakiwa ianzie hapa mkuu.
Swadakta kabisa ila bado itabaki kwamba hawa viumbe jamii mbili zimetoka katika uzao mmoja wa IBRAHIMU!yaani mama zao tu ndo walikuwa tofauti ila wanavyouana utasema sio ndugu
 
ofcoz not,ila kuna umuhimu wa wale wenzetu wanaoabudu mabudha watuambie mafundisho yao yanasemaje kuhusu binadamu wa kwanza na mambo kama hayo,labda tukija kuweka pamoja na what chrustians na muslims tulivyofundshwa inaweza kutufunulia mengi ambayo hatujayafaham bado
Ubudha asili yake kabisa ni hapo Kathmandu Nepal ambako ndio huko huko mitaa ya mashariki ya kati
 
Back
Top Bottom