Ukiukosa Urais huwezi kuingia Bungeni ndio mfumo wetu wa bunge huo..Lakini kumbuka tu Bunge ni mahala unapowakilisha jimbo lako..Dr.Slaa hakupata sifa na umaarufu kwa sababu ya uwakilishi wa jimbo lake (ilani yake) isipokuwa kuwakilisha maslahi ya Taifa zima (ilani ya chama) ktk yote maswala nyeti. Hivyo Chadema hawana sababu ya kuhofia Dr.Slaa kutokuwa Bungeni kwani lazima atakuwepo mtu mwingine (aliyeshinda) ambaye atakabidhiwa mamlaka ya kuwakilisha hoja hizi kama alivyokuwa Dr.Slaa...
Na kuhusu jimbo lake, kama Dr.Slaa atasimama kugombea Urais mara nyingi ushindi wa jimbo pia humfuata mgombea wake. Na kama mgombea wake atashindwa basi kuna uwezekano mkubwa kwamba hata yeye angegombea jimbo hilo asingeweza kushinda...Kwa hiyo ni rahisi sana kufikiria ni bora Dr.Slaa agombee jimboni kwake lakini kama atashindwa jimboni huko nguvu ya chama na yeye mwenyewe itapotea kabisa.. Hivyo fikiria pia what if - Dr.Slaa atashindwa kiti cha ubunge itakuwaje!