Je "Dr" Mbwambo wa Mzumbe University Dar Business School ame-graduate PhD yake?

qwerty3

Member
Apr 4, 2009
6
0
Kwa Wadau Wote: Kwa kuwa naamini kuwa inawezekana naweza kuwa nakosea, na kuwa nimesikia au najua kupitia vyanzo mbalimbali kuwa anayejiita "DR" MBWAMBO, ambaye ni Dean wa Mzumbe University Dar Business School, hajamaliza bado PhD yake huko Nairobi University...naombeni uelewa wenu katika hili. Na kama bado, ina maana gani? na Ina picha gani kwa Mzumbe University kwa ujumla? Hili si jungu...ni utafutaji wa ukweli...

Mkereketwa!
 
Back
Top Bottom