Je Dk Mwakyembe kapona, hakulishwa wala kupakwa sumu au homa ya uwaziri?

Kwa kuwa mnafiki ni chakula ya Mamba, Bora wangemuulia mbali tu! Anacheza na Hisia zetu!!!
au achague moja, Uongozi au mambo yake Binafsi!
 
Magamba bwana nawapa Salute kwa ku-play roughs, wamempa mzee wa report bungeni dose kidogo(starter) then wame-play na mindset yake akubali kwamba hajawekewa sumu, alafu part 2 wanampa dose ya kumuondoa kabisa nakusema "ah Jamaa kafa na ule ugonjwa wake ambao yeye mwenyewe alisema kwamba unamsumbua" na hapo ndio unakuwa mwisho film na offcourse the end of Mwakyembe.I love what i see,What a trick!
 
Labda ameshurutishwa,hata kama ndio hivyo alitakiwa kuwa na msimamo madhubuti,yawezekana hata wakamtema kwenye uwaziri mdogo,kama afya yake itazidi kudolola.Tunamtakia afya njema.
 
Back
Top Bottom