Je Dk Mwakyembe kapona, hakulishwa wala kupakwa sumu au homa ya uwaziri?

mpayukaji

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
940
349
Wengi wamestushwa na madai ya Dk Harrison Mwakyembekuwa anaugua ugonjwa wa ngozi. Amezidi kuwachanganya watu zaidi kwa kummwagiasifa rais Jakaya Kikwete huku akijigonga kuhusu kueleza nini mawazo yake juu yauchunguzi wa polisi. Je kwanini Mwakyembe amepiga U-turn? Je namna hiiwanasiasa wetu ni wa kuamini tena? Yale yale ya "kama Lowassa atatakatufichue tuliyoacha aseme," Je kwa ukinyonga kama huu kuna tofauti bainayake na mafisadi wa kawaida? Akizidiwa aanze tena kulalamikia kupewa sumu? Naniatamdanganya tena hadi amsikilize?
 
kipanya_23-_02-_2012_20120223_1036903633.jpg
 
Mkuu naona unawashwa washwa sana kuongea mambo negative juu ya Mwakyembe.
Sasa kupunguza mwasho huo soma gazeti la RAIA MWEMA (la leo 21/3/2102)ili uongeze ufahamu wako juu ya sakata hili.
Kwa kifupi goma inogile,Lowassa karudi toka matibabu akisema mapambano yanaendelea, Mwakyembe karudi toka matibabu vile vile akisema atapambana ndani ya serikali(Mwanahalisi la leo).
Mpayukaji, punguza kupayuka and understand the issues, unless umetumwa na kambi fulani.
 
Kwa mantiki hii taarifa ya DCI inaanza kupata mashiko. Still nashangazwa sana na Mwakyembe,sasa tena anaiamini na polisi na kusubiri uchunguzi wake,,awali aliwahi kusema Polisi wanafanya kazi kama waganga wa kienyeji, Hata taarifa yake baada ile ya DCI ilionyesha anawashangaa,Well nimemtoa maana Mwakyembe mazimaaaaaa!
 
Tatizo la viongozi aina ya Mwakyembe ni UNAFIKI ameshatuchosha na story zake.
zisizo na mashiko.
 
Mkuu naona unawashwa washwa sana kuongea mambo negative juu ya Mwakyembe.
Sasa kupunguza mwasho huo soma gazeti la RAIA MWEMA (la leo 21/3/2102)ili uongeze ufahamu wako juu ya sakata hili.
Kwa kifupi goma inogile,Lowassa karudi toka matibabu akisema mapambano yanaendelea, Mwakyembe karudi toka matibabu vile vile akisema atapambana ndani ya serikali(Mwanahalisi la leo).
Mpayukaji, punguza kupayuka and understand the issues, unless umetumwa na kambi fulani.
kama wagonjwa wamerudi ili wapambane... Kazi wanafanyasaa ngapi

nadhani ww ndio inawashwa
 
huyu jamaa watamfanza kitendo kingine na atasema ni tatizo la kawaida, mnafiki huyu, si aseme alichonacho moyoni?????????
atakufa nacho hicho kiriba
 
Mkuu naona unawashwa washwa sana kuongea mambo negative juu ya Mwakyembe.
Sasa kupunguza mwasho huo soma gazeti la RAIA MWEMA (la leo 21/3/2102)ili uongeze ufahamu wako juu ya sakata hili.
Kwa kifupi goma inogile,Lowassa karudi toka matibabu akisema mapambano yanaendelea, Mwakyembe karudi toka matibabu vile vile akisema atapambana ndani ya serikali(Mwanahalisi la leo).
Mpayukaji, punguza kupayuka and understand the issues, unless umetumwa na kambi fulani.

Umenena Masopakyiindi. Watu wengine humu hawana ufahamu wa sheria za mchezo (rules of the game) wa siasa ndiyo maana wana ropokaropoka. Kwa mwanasiasa anayejua sheria za mchezo wa siasa awezi kukurupuka kusema kitu bila kuwa well informed. Mwakyembe is well informed. Msipayukepayuke bila kuwa well informed, mtajikuta segerea mkinyea kwenye ndoa!!
 
.
Labda kama wewe na mwandishi wa raia mnamwekea maneno mdomoni. Lakini yeye mwakyembe mwenyewe ni kinyume na maneno yenu. Ukweli ni kwamba kasalimu amri kwa U-turn ya nguvu.

T.B Joshua¥ J. Gwajima.
Lowasa ¥ Mwenyewe
Hapa lazima ujue nguvu za mmoja, sii za kufananisha na huyo mwingine hata siku moja.
.l
 
Eti tusubiri report ya uchunguzi wa POLISI?! Wakati yeye (Mwakyembe) alishawa discredit polisi kwamba wanafanya kazi kama WAGANGA WA KIENYEJI.

Hili Li-DAKTARI ni Bonge ya HYPOCRISY mimi siliamini kabisa. Report ya DCI Manumba imeanza ku-make sense kwa Watanzania wote MAKINI kama mimi.
 
Umenena Masopakyiindi. Watu wengine humu hawana ufahamu wa sheria za mchezo (rules of the game) wa siasa ndiyo maana wana ropokaropoka. Kwa mwanasiasa anayejua sheria za mchezo wa siasa awezi kukurupuka kusema kitu bila kuwa well informed. Mwakyembe is well informed. Msipayukepayuke bila kuwa well informed, mtajikuta segerea mkinyea kwenye ndoa!!

Kwa hiyo wassira alikuwa well informed kuwa Slaa aliiba fedha za ujio wa papa? Mkapa alikuwa well informed kwamba vicent sio wa ukoo wa nyerere? Lusinde alikuwa well informed kwamba wananchi wa Arumeru mashariki wampe kura sioi kwa sababu baba yake amefariki na yeye hana fedha ya kutunza familia????? ama hao wote sio wanasiasa?
My take: Wanaojifanya ni wapinga ufisadi walichelewa kuondoka CCM. sasa kwa kukaa kwao ndio tumeanza kujua unafiki na usanii wao. Laiti wangekuwa CCJ tungechelewa kuwajui vizuri!
POLENI MWAKIEMBE, SITA NA WENZIO IMEKULA KWENU NA HATUWAAMINI TENA!

mwakembe haaminiki.!! Amesahau wananchi tuliipa serikali wakati mgumu kujitetea kuhusu ungonjwa wake leo anakuja na hadithi za kibabe.kifupi ametuacha kwenye mataa tuliokua tunamini amefanyia mchezo mbaya juu ya afya yake ni vema angemaliza mjadala kistarabu kwa kutuambi ukweli ni sumu kweli au homa zake za mda mrefu...kwa kumaliza nimkumbushe mwakyembe kua yeye anategemea nguvu ya wananchi..mafisadi ambao anatuaminisha ndio maadui wake wana kila kitu nguvu ya pesa nguvu ya usalama na nguvu ya watu pia. Sisi bado anatuitaji kuliko sisi tunavyomhitaji ha7a wakati huu...
 
Back
Top Bottom