Je design ya website(tovuti) ni mobile friendly??

Luz_12

Member
Jan 29, 2012
57
7
Je design ya tovuti yako ipo responsive(responsive design-mobile friendly website)?

Fahamu kuwa idadi kubwa ya watumiaji mtandao wanatumia smart phones kuweza pata taarifa mbalimbali katika tovuti.
Pia tovuti nyingi zinapoteza mwonekano asilia pindi utumiapo vifaa kama smart phones na tablets.

Sasa unaweza tazama ubora na muonekano wa website(tovuti) yako katika devices tofauti tofauti(desktop computer, laptops, tablets na mobiles) kupitia link hii-->>
Responsive Design Checker

Pindi ukutapo moja ya vifaa tajwa kinapoteza muonekano asilia wa tovuti yako basi fahamu watumiaji wa kifaa hicho hawapati taarifa zako kwa ufasaha.

Tunaweza kuwasiliana kwa marekebisho.
Mawasiliano:
Call/whatsapp: +255 716 939441
Email: info@luzwi.co.tz

Karibuni sana
 
Attachments

  • fb-tangazo.jpg
    fb-tangazo.jpg
    64.5 KB · Views: 96

Je mna fanya na website designing?
 
f1c44240634ee2a4ae45cc999c20aa48.jpg

Pata punguzo la bei la 20% kwa tovuti mpya katika msimu huu wa wapenda nao..

Happy Valentines Day
 
Back
Top Bottom