je?Dci manumba atumia ripoti ipi kusema dr.mwakyembe hakulishwa sumu?mnatuchanganya!

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
8,277
13,212
katika hali inayozidi kuibua maswali mengi,waziri wa afya amesema ripoti ambayo dci manumba alitumia kusema kuwa dr.mwakyembe hakulishwa sumu,bali ni ugonjwa wa ngozi hawaitambui!kwani ripoti ambayo ilitoka ktk hospitali ya Apolo anayo mwenyewe dr.mwakyembe na wala wizara ya afya hawana!!nadhani hawa wameshaona maji yamewafika shingoni wanataka kupotosha umma,mbona kipindi kile wanaambiwa watoe ripoti hadharani hawakuwahi kusema hawana ripoti hiyo? Na dci manumba aseme ripoti aliyo2mia aliitoa wapi?na mbona samweli sita anazidi kusisitiza kuwa dr.mwakyembe alilishwa sumu!na kazi ya polisi ni kutafuta ushahidi sio kupelekewa,mahakamani ndio sehemu ya mtu kutoa ushahidi.kama ni hivyo kwanini wasimkamate sita? Kwa dhambi hii tusubili mengi hadi ukweli utabainika tu,nyie jichanganyeni tu.mungu ni mkubwa,na nyie jeshi la polisi mtaacha ku2mika kisiasa lini?njaa zitawaua.
 
Nilisikia kuna mtoto wa kigogo alitumia milioni 40 ili apate docs za ugonjwa wa mwakyembe...sasa ukute yametimia
 
Da' ni kweli mnatuchanganya kwa kweli au DCI alikurupuka kutoa ripoti hiyo
 
Ahaaa kumbe. Mwakyembe yupo tayari kusema ukweli sasa!polisi wanaelewa wazi watakavyoadhirika kwa kuhusika kwao moja kwa moja na njama hizo wanaelewa kuwa sasa watanzania wengi wanaelewa kinachomuua mwakyembe!breadwinner wao naye hayupo tayari kuvishwa pingu siku ukweli utakapoanikwa, Fredy lowassa alipeleka ngombe kwa wauaji wale,sasa je nani yupo nyuma ya fredy?ana nguvu kiasi gani?je yupo tayari kuvuliwa wig?sehemu pekee ya kujificha ni nyuma ya mgongo wa polisi ingawa wao pia ni watuhumiwa, haiwezekani muletewe hadi jina la mhusika na musione umuhimu japo wa kumhoji labda manumba angetuambia kuwa Namba za magari yaliyotajwa hazipo ama hazitambui ningemwelewa otherwise anawajua wote kwa majina hivyo anatuandaa ili itakapofika siku ya bubble to burst tuungane na polisi na lowassa na wauaji wengine kusema kuwa mwakyembe ni mwongo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom