Je CUF wataweza kufuta nyayo za CHADEMA?

gagonza

JF-Expert Member
Oct 18, 2009
309
98
Chama cha wananchi CUF kinaanza kuzunguka nchi nzima,tarehe 30.9.2012 watakuwa hapa Arusha kufanya mkutano mkubwa,swali je wataweza kufuta nyayo za CHADEMA?
 
CUF ile ya 2000 sjui kama itakuja tokea tena ila yote yanawezekana kusuka au kunyoa ilimragi Harusi ya 2015 wawepo.
 
Hawa CUF wamebakia na bendera hata chaguzi za Zanzibar bado wanashindwa! Wataweza kweli Tanganyika?
 
Hawa wanatumika kuidhoofisha CDM! Ila wajue kuwa hilo halitafanikiwa kwa sababu watanzania wameweka imani yao kwa CDM!
 
Chama cha wananchi CUF kinaanza kuzunguka nchi nzima,tarehe 30.9.2012 watakuwa hapa Arusha kufanya mkutano mkubwa,swali je wataweza kufuta nyayo za CHADEMA?

Wameenda kutalii tu, Arusha hakuma malofa (makabwela) wengi. Nyayo zilizomshinda CCM zitafutwa na mkewe?
 
Hao ndio upinzani wenye malengo na nia ya kumkomboa mtanzania.
Wasiosoma ni chakula cha wasomi.
 
waacheni cuf wakafanye siasa. tunataka vyama vyote viingie katika siasa vishindane kwa sera sio ubaguzi
 
And that is so called Multiparty democratic system,Kila chama kinanadi sera zake raia wanaamua mwisho wa siku.Kila la kheri vyama vyote vya upinzani.
 
Wanajaribu ku peste mbinu za CHADEMA, sijui kwanini wamewaacha CCM wao
 
Ameshindwa mume wao wataweza wao? Wao waendelee tu na ule mradi wao wa kuchoma makanisa kwani ndiyo unaowaingizia fedha, hata yale matembezi ya kuchangisha hela ni usanii tu, fedha wanapata toka kwa waarabu kama malipo ya kuchoma makanisa.
 
Back
Top Bottom