Je Chadema mnajenga uhusiano na Pf ya Zambia?

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
ndugu zangu sikuwepo kwa week mbili''nimekunwa sana na kinachoendelea Zambia'tujikumbushe jinsi Pf ilivyoshinda chini ya tume ya Mmd?
Kwa kweli Sata hakutakiwa kuwa Rais lakini kuna kitu kilitokea pale'kuna mchezo ulichezwa'kuna strategy ziliwekwa pale ili kutangaza mshindi wa
Halali chini tume ya uchaguzi iliyokuwa inapendelea upande wa Rais Banda'sasa ndugu zangu kuna kitu cha kujifunza pale'je Sata na watu wake walifanyaje mpaka wakatangazwa washindi???kuna kazi hapo!je chadema mmegundua hilo??je mna mpango wa kujenga uhusiano wa karibu na king kobra na chama chake ili mjifunze??labda niwaibie siri'''serikali ya ccm haina uhusiano mzuri na serikali ya zambia'ile serikali ya zambia ni ya wazambia wenyewe na kwa bahati nzuri
Sana wanaujua udhalimu wa serikali ya ccm'jitahidini ndugu zangu zangu 2015 haiko mbali'tumechoka na safari ndefu'tunataka tujitokeze mitaani na kulia machozi mbele za mungu kama Wazambia walivyofanya'tunataka huu mzigo wa ccm uondolewe mabegani mwetu'tumekata tamaa na hatuwezi kuendelea mbele''shukrani zangu natanguliza kwenu'asanteni!
 
Back
Top Bottom