je chadema mna habari kuwa radio za taifa TBC TAIFA/TBC FM hazirushi matangazo ya bungeni?

Mwigamba son

Member
Jan 11, 2012
27
6
Ili cdm muweze kueleweka vijijini ni lazima matangazo ya bunge yarushwe kupitia radio na hasa zile za taifa kinachotokea kwa sasa ni kwamba matangazo haya hayarushwi redioni na kama tujuavyo vivjijini hakuna umeme na hata ukiwepo wenye uwezo wa kumiliki tv ni wachache hivyo kundi kubwa linakuwa halijui madudu yanayofanywa na ccm na ccm kwa kutambua kuwa mtaji wao ni vijiji wameamua kuwaficha watanzania hawa wasijue yanayojiri bungeni kwa kitendo cha kutumia vyombo vya habari vya umma kwa maslahi yao kana kwamba ni vyombo vya ccm. wajue vyombo hivi vinatumia kodi ya wananchi na sii kodi ya ccm.
Hivyo badala ya cdm kutumia m4c peke yake ili kuviteka vijiji vya ccm piganieni matangazo ya bunge yarushwe redioni kama ilivyokuwa zamani.
 
mnataka wananchi wasikile bunge au cdm?fungueni radio yenu sasa si mko ki propaganda
 
Back
Top Bottom