Je bunge letu linaweza kufikia hapa kwa vitendo.

Fasta fasta

JF-Expert Member
Feb 15, 2011
1,126
725
images (1).jpg
Jamani hawa watu wanaitendea haki kweli hii gari lisilo na makosa?
Hawa wapo bungeni wanafanya kazi waliyotumwa na wananchi baada ya kilio kila upande. Kipato na ajira vinaleta amani popote.
Swali kwenu wabunge wote.
 
Back
Top Bottom