Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,581
- 18,124
Watu,
Hapa JF sharia hazifuatwi hasa pale ambapo mtu wanaemtaka anaguswa unakuta Mods wanatoa thread au wanaihamisha.Huko nyuma nilishawahi kusema huyu jama hana tofauti na kikwete kwa visasi ,Haya hebu angalieni status yake ya facebook inaashiria nini?
"Comrade Julius Malema amechaguliwa Tena kuongoza umoja wa vijana wa chama cha ANC Afrika Kusini (ANC Youth League),baada ya kuungwa mkono na mgombea mwingine Leobogang Maile aliyejitoa kwa maslahi ya vijana na chama.Katika mchakato huu vyama vya siasa vya Tanzania vinatakiwa kujifunza katika kuendesha chaguzi za mabaraza ya vijana.Tukubali changamoto,tufanye mazoezi mazito ya demokrasia"
Log In | Facebook
Sasa wale viherreherre sijui mtasemaje
Nifungieni teana kama mlivyofanya huko nyuma,