MwafrikaHalisi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 1,741
- 510
Umeenda mbali kudhani One ni mrithi wa Dogo!!one,nikki,stamina,izzo,stereo,darasa na wengineo ni maMc wa msimu na hata uwezo hawajapishana sana!katika kizazi hiki mtu ambaye naona atakuwa katika historia ni Roma mkatoliki!
The fact that, unamuweka stamina, izzo b kwenye level za kina nikki mbishi, one na stereo zinajumuisha una upeo mdogo kwenye hiphop. Mdogo sana. Album ya Nikki Mbishi inatosha kukujibu. I would say Roma ndiye Rapa wa msimu. Time will tell