Je Barca itaweza kuitoa Madrid uefa..?

Swali sio Barca kumtoa Madrid bt Madrid itaweza kumtoa Barca? Jibu ni HAPANA!
 
Mjomba b4 nlikuwa nna wa under estimate madrid..ila kwa mpira wa jana kazi mbona ipo.. 50-50
 
Kama Barca wanataka kushinda UEFA lazima waje na Strategy ya kumfanya Pepe asicheze au atyoke kabisa nje ya mchezo

Toka mechi ya La Liga ya Bernabeu ya 1 - 1 nilijua Pepe ndio muandaliwa wa kutibua Barca......waliotulia jana wanajua Pepe amecheza kwenye akili ya Mourinho na alipewa kazi maalum kama ya Cambiasso Mourinho akiwa Inter

Kutoka au kutokutoka kwao kunategemea na namna watakavyobadilisha mbinu ya mchezo tofauti na ile ambayo Pepe amefundishwa na Mourinho kucheza kati na kutambaa na mianya ya Barca.........

Pepe amepewa kazi maalum na huyu ndie amebeba uamuzi wa mechi hii maana Guardiola sidhani kama ni mtu wa tactic hasa timu yake inapokabwa kwenye plan yake ya kawaida ya kila siku
 
yes ofkoz why not?tutawatoka tu,
afu thread letu la barca liko wapi umu?
adi tulitafute mbaaali ebu liwekeni apo mwanzo..
 
yes ofkoz why not?tutawatoka tu,
afu thread letu la barca liko wapi umu?
adi tulitafute mbaaali ebu liwekeni apo mwanzo..

mkifungwa utaiona wala usiwe na haraka nayo kijana cya....
 
Kama Barca wanataka kushinda UEFA lazima waje na Strategy ya kumfanya Pepe asicheze au atyoke kabisa nje ya mchezo

Toka mechi ya La Liga ya Bernabeu ya 1 - 1 nilijua Pepe ndio muandaliwa wa kutibua Barca......waliotulia jana wanajua Pepe amecheza kwenye akili ya Mourinho na alipewa kazi maalum kama ya Cambiasso Mourinho akiwa Inter

Kutoka au kutokutoka kwao kunategemea na namna watakavyobadilisha mbinu ya mchezo tofauti na ile ambayo Pepe amefundishwa na Mourinho kucheza kati na kutambaa na mianya ya Barca.........

Pepe amepewa kazi maalum na huyu ndie amebeba uamuzi wa mechi hii maana Guardiola sidhani kama ni mtu wa tactic hasa timu yake inapokabwa kwenye plan yake ya kawaida ya kila siku

hapo kwenye red umemaanisha nini?
 
Barca kama Arsenal, ukivuruga plan A wanapotea maaana hawana plan B...na ndicho alichofanya Mourinho the tactician jana...!
 
aaaa wapi wewe!
linatakiwa libandikwe mwanzo kama izo za wanaobebwa-bebwa
 
tatizo madrid kuanzia nyumbani kwisha habari yake

barca mpira wanaujua lakini magori yao mengi ni offside baada ya refaa kuzubaa na pass lakin kama refa ni makini na hiyo timu mabeki ni wajanja barca hawatoki wataishia tu kucheza mpira na pep asipo soma alama za nyakati anaweza kutolewa uefa. kwani anatemea zaid wachezaji wafanye kitu na sio yeye afanye vitu kama babu fergie..
 
Kwa mchezo ninaouona kati ya valencia na madrid, barca waanze kunyoa. Kaka na higuan wamerudi na kasi ya ajabu
 
kwanini hizo mbinu za JM hazikuweza kufanya kazi kwenye mechi tano zote alizopigwa?? mi naona kwenye UEFA bado atagongwa tu...
 
taabu ya RMA wakiiona Barca tu wanakuwa kama mbwa amekutana na chatu. Wananywea kabisa. Mpaka watyakapoondoa jinamizi hilo ndio wtaifunga Barca. lakini kwa sasa RMA ni wazuri na KAKA naona amerudi enzi zake.
 
Mpira unadunda na hauangalii historia hata siku moja bali subiria matokeo tu
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom