je?bao moja tu naweza pata HIV?

mkuu sasa virus wanaingiaje kwenye mwili wa mwenza wake? kama hapajatokea michubuko?

elimu ya ukimwi ni pana sana!epuka kuchukua maarifa ya mtaani!virusi vya ukimwi hukaa ktk majimaji ya aina mbalimbali mwilini ikiwemo hata manii na majimaji ya ukeni!kama yule dada ni positive virus vinaweza kusafiri kutoka ktk majimaji ya uke wake vikaingia ktk uume wa kijana Bagah kupitia njia ya mkojo na kama bagah amewahi kuumwa std's uwezekano ni mkubwa zaidi!huenda mpendwa wetu kijana Bagah tayari ana maambukizi!
 
bagah!dhana kuu ya jibu langu ni kutaka watu kuachana na probability!unaposex michubuko probably may occur probably not! sasa ukitumia akili yako vema si vema ukajihatarisha!

kama huyo demu wako ni hiv infected!probably ur infected!nendeni mkapime! n.b-hiv viruses are microscopic so hata michubuko ambayo anapenya sio lazima mpaka wewe uione!kazi unayo!

MC Tilly umenikomaliaje leo...bo!...hivi huwezi hata kufariji waathirika bana!...
 
Last edited by a moderator:
...mm ni ME,nimekutana na msichana bahati nzuri pakawa ni faragha...(mimi na yeye tu)...tukajikuta tumechezeana takribani 30min...wote hoi! kidume nikashindwa kuvumilia...nikachomeka mambo kavkav!...ofcoz sikukawia...shampeni ikafunguka na kumwagika!...sasa nikaanza kuwaza,je kama yule mtu ana ngoma naweza kupata?

NB: sina kidonda wala mchubuko katika uume wangu!

umeshakuwa marehemu mtarajiwa kamili,kapime.
 
vijana humu mnajua kusiliba...hamjui hata kuvunga...ebo!nyie hamjawahi tumbukiza kavukavu?....najua mpo kibao humu hata hamjui afya zenu...lol!nilitaka pia kujua levo ya unyanyapaa humu kwa Jf!...kuna watu wamenipa faraja kwa kweli...lahaula!...
 
TANMO hadi wewe kurwa?...aisee!..
 
Last edited by a moderator:
mnyongeni Jabulani nimepata ushauri wenu...tehe!..mmenifariji aisee..!afu mmekua wakweli...sio kama hawa washkaji wanajidai wasaaaafi...
 
Last edited by a moderator:
BAGAH leo sikutaka kuchangia ila hii michango ya wanajamii Imenichekesha sana dah
Pole sana dogo...
Punguza uchu utakufa ooh halafu Mtei one abaki lonely
 
Last edited by a moderator:
BAGAH leo sikutaka kuchangia ila hii michango ya wanajamii Imenichekesha sana dah
Pole sana dogo...
Punguza uchu utakufa ooh halafu Mtei one abaki lonely

we acha tu braza...niko kwenye karesearch hapa...nakusanya data...sina habari Erickb52
 
Last edited by a moderator:
huwezi kupata ngoma mbona rais zuma alisex na muathirika kavu kavu na alipomaliza akaenda kukoga virusi vyote vikafa mpaka leo mzima anadunda
Nadhani tunahitaji na jukwaa la watoto pia, mods plz let's play fair....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom