je?bao moja tu naweza pata HIV?

BAGAH

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
4,523
1,058
...mm ni ME,nimekutana na msichana bahati nzuri pakawa ni faragha...(mimi na yeye tu)...tukajikuta tumechezeana takribani 30min...wote hoi! kidume nikashindwa kuvumilia...nikachomeka mambo kavkav!...ofcoz sikukawia...shampeni ikafunguka na kumwagika!...sasa nikaanza kuwaza,je kama yule mtu ana ngoma naweza kupata?

NB: sina kidonda wala mchubuko katika uume wangu!
 
Kwani Mimba inaingiaga baada ya mabao mangapi?Wewe subiri miezi 3 nenda kapime Angaza acha kujipa Moyo kijana.
 
Kama 24 hrs hazijapita wahi kwa madaktari kuna dawa wanaweza kukusaidia kama wanavyofanya kwa rape victims. Usichelewe!
 
njia mojawapo ya kupata maambukizi ya vvu ni kufanya mapenzi bila kinga na mtu ambaye tayari ameshaambukizwa!

hayo mambo ya sijui michubuko,goli moja,kuoga baada ya tendo ni upungufu wa matumizi ya akili!

kwani virusi wanaingiaje kwenye damu yako?...kama hutaki kuzungumzia michubuko?
 
njia mojawapo ya kupata maambukizi ya vvu ni kufanya mapenzi bila kinga na mtu ambaye tayari ameshaambukizwa!

hayo mambo ya sijui michubuko,goli moja,kuoga baada ya tendo ni upungufu wa matumizi ya akili!

mkuu sasa virus wanaingiaje kwenye mwili wa mwenza wake? kama hapajatokea michubuko?
 
Pole,anza kununua nepi,ili wkt ukiwa unaharisha zweze kukusaidia.
 
...mm ni ME,nimekutana na msichana bahati nzuri pakawa ni faragha...(mimi na yeye tu)...tukajikuta tumechezeana takribani 30min...wote hoi! kidume nikashindwa kuvumilia...nikachomeka mambo kavkav!...ofcoz sikukawia...shampeni ikafunguka na kumwagika!...sasa nikaanza kuwaza,je kama yule mtu ana ngoma naweza kupata?

NB: sina kidonda wala mchubuko katika uume wangu!

...hapana, ....endelea tu moja, moja, moja,....utajiepusha nao.
 
haujapata ila, acha hako katabia, kwa sababu ilikuwa bahati mbaya baada ya kuzidiwa. ila siku nyingine usirudie, kwani haitakuwa bahati mbaya tena......... sawa?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom