Je, Avatar yako ina maana gani?

Ha!ha!ha!ha!ha!ha!.......mbele mbele.....mipambano daima.....no fear, no makandokando, no boss in my path....I am always the Next.....in whatever I want mkuu.....U know it all!

Nimekumbuka kitu mkuuu....haaaa... hiyo tai hiyo tai!!!!
Unakumbuka hiyo tai......
 
Nashukuru maana nilikuwa naitafsiri vibaya....
Eti ulikuwa "kill time" enzi zile then uko bwiii... umeweka ndovu za kutosha mida hiyo uko na 100% confidence. Ukakutana na kimwana unamwambia lets go to the next level... unamwambia awahi pale king palace au pale royal njombe......

Haaaa.... just thinking beyong what i see thiking to the next level!

Ha!ha!ha!ha!ha!ha umenichekesaha sana mkuu hapa duuuu!.....aiseee ile life bana....ebu pata kibao cha yule Jide:''napenda niwe mtoto /malaika'' Lakini umesahau...ile zahama pale extension UDSM, na yule kibaka.....bado kuna mabaki kny cardet yangu....ha!ha!ha!ha!...ulimsaidia sana yule kijana!

Nimekumbuka kitu mkuuu....haaaa... hiyo tai hiyo tai!!!!
Unakumbuka hiyo tai......

Teheneheheheheeeeee...kijana husahau tu? basi ile tai mzee ndo nafikiri ilisaidia kunitoa kimasomaso...ndo mwanzo wa leve hii ya leo mkuu!

BWT: Umeona kny email eeeh? unakumbuka na ile ya kule PI..DABURUU SI?.....! Only people in the NEXT LEVEL can do that! hahahahahahahaha!
 
Hahahahhhhahh Hebu Cheki avatar yangu! yaani Panya akicheza na mausi!.....Hata sijuwi ina maanisha nini maana mausi zinatumika kwenye computer ku CLICK.Panya huyu anatamani ku click lakini li MAUSi ni likubwa kaamua kulikalia juu kisha... aaaah Bwana eeee... Just Computer application!
 
Mimi sina Avatar kwasababu tu, sijui namna ya kuiweka

Mkuu ukigonga kwenye hiyo jina lako itafungua profile yako, kwenye hiyo kuna kijisehemu pia kimeandikwa personalize profile napo gonga itafunguka sehemu nyingine ina options kibao moja wapo ni edit avatar, hapo unaweza ku upload picha unayotaka ila tafadhari zingatia ukubwa ili isije kuwa taaabu kuload.
 
Avatar zangu zinamaanisha ucheshi na muziki period! ila zina expire anytime, nazibadili kila ikiexpire.
 
Avatar Yangu pia ni ya Uzalendo... 'BIA YANGU NCHI YANGU' (My country my Beer).. Pia inawakilisha kinywaji nikipendacho sana, Tusker... nadhani inaonyesha am an outgoing person, na napenda starehe kiasi kikubwa. Shukran.
 
Yangu inonyesha watoto wakivuta sigara yaani inamaanisha kua "Dunia ya sasa si kama ile yetu ya zamani things have changed" so watu muwe waangalifu na mjitahidi kuthink outside the box!
 
This is what the fisadiz do, and i hate it! especially when the mkuu wa kaya doesnt do anything to stop these guys from eating us.
 
Back
Top Bottom