Je Arusha Journalism Training College Kimepata Usajili na NACTE Kwa Mwaka 2012

FERNAANDO

Member
Feb 2, 2012
23
4
Mwezi wa january katibu mtendaji Nacte alitangaza vyuo vilivyopata usajili wa muda na vile vilivyopewa usajili wa kudumu napenda kufahamu kwa wanaojua mambo ya usajili je chuo cha ARUSHA JOURNALISM TRAINING COLLEGE KIMEPATA USAJILI mwaka 2012
 
Rekebisha heading...naamini ulimaanisha CHUO na sio chu!
Swali au statement?
Ninaishi hatua 20 toka kilipo, lakini nasikitika sijakifuatilia kabisa!.Labda ni hobby sina!
 
Back
Top Bottom