je Alqaeda ni kundi linalo pingana na marekani au ni propaganda za wamarekani tu?

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,260
9,704
siku zote uwa najiuliza hili swali?
Je ni kweli kwamba Alqaeda inapigana na Marekani? Au ni propaganda inayo tumiwa na Marekani ili iweze kuvamia na kutawala nchi za Mashariki ya kati.
Kuna kila dalili ya kuwa Osama alikuwa anatumiwa na Marekani kutimiza malengo yao kuptia Alqaeda. Vijana wengi wamejiunga na Alqaeda pasipo kujua hasa ukweli wa Alqaeda na mpaka leo wanaendelea kujiunga na kujitolea kwa moyo mmoja kwa ajili ya kupigania wanaloliamini.
Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya nje bwana Robin Cook wa Uingereza aliwahi sema yafuatayo kabla ya kifo chake

"Al Qaeda" is
not really a terrorist group but a database
of international mujaheddin and arms
smugglers used by the CIA and Saudis to funnel guerrillas, arms, and money into
Soviet-occupied Afghanistan.

Wadau tujadili na ntaendelea weka evidence toka source mbalimbali mjadara utakavyo kuwa unaendelea.
 
Back
Top Bottom