kwa kumbukumbu yangu nakumbuka Dr Abdallah Kigoda alikuwa kiongozi wa wizara ya uchumi na mipango ambayo ili isimamia PSRC kuuza mashirika na viwanda , ambavyo leo hii havi fanyi hiyo kazi zaidi ya kuwa ma-godown na kuwekea bidhaa. sasa mtu kama huyu ambaye wakati huo alishindwa hii kazi leo hii ndio tunamtegemea kubadili mambo na kutuletea tija?