Je alichotabiri Nyerere tayari kinatokea sasa?

Field Marshall
You have hit the nail! You are damn right! You are dead right!
It is JKN himself who started most of these messes:
1. When a minister, director, RC messes in one ministry, company or region, was simply transfered to a fresh ministry, another company or another region. There was no accountability or respect fro a rule of law
2. JKN dictated and amassed all powers into his own hands. The constitution knows nobody but the President. He forgot that he will not be there forever. Reluctantly, he relinqueshed power in 1985, but kept the CCM chairmanship to "keep an eye" on Mwinyi, and make sure that all goes according to his opinions, instincts and direction. Now that he is gone, Mkapa did what he did, and JK is struggling with all sorts of difficulties!!!
3. Tanzanians were hypnotized by "African Socialism" and its illogical restrictions on individual entrepreneurship which brought the country's economy to its knees by mid 80s. Arusha declaration nationalized private investments that were handled back after about 10 years of failures!
4. Promotion of one party as the sole political party that knows and dictates whole truth about what Tanzanians want. Multiparty was introduced with lots of conspiracies against opposition parties, with proxies and agents embedded within opposition parties, who caused fights and havoc from within.

All that said, JKN was at least frank in his intentions for the country (good or even eventually bad) and did not seek self enriching deals, did not cheat for his own personal material gains, which he could have.
 
"Dola lazima isimamie sheria ili kulinda haki na kuhifadhi amani. Wajibu huu usipozingatiwa, wataibuka manabii wenye kuihubiri haki kwa kuwahukumu wengine. Hamtabaki salama mkifikia hapo"

J.K. Nyerere

i used to think the man was selfish, which he was in a small way but he did a lot for us than many other leaders ever did for their people.the more you learn about him and analyze him at the end of his political career then you relieze he was a Genius people dont just predict they see the trend and they can say what is going to happen based on the trend now that is genius.
 
Hayo maneno ya Mwalimu ni mchomo kwa CCM!!! Game Theory huyu hakuwa Mungu mtu lakini alikuwa mwanaTANU na CCM makini ever!!

Sa hivi naona wanasaliti maneno na miongozo yake ambayo ni kwa maslahi ya chama na hata taifa kwa ujumla hata wale watu wa karibu ambao aliwapika kuwa good leaders!!
 
Nadhani hawakumuelewa. Wengi wa waliopikwa nae walijifanya kumuelewa na kutimiza aliyowafundisha bila kuamini kuwa alikuwa sahihi. Sasa ndio wanajionyesha wazi wazi.
 
So, JKN amekufa (karibu miaka kumi iliyopita) na sasa amezikwa kaburini. Kwa kujua haya yote (utabiri au uchemfu wa Nyerere), nini kifanyike?
 
Nyie mnaomlaumu Nyerere, mtaishia kutafuta visingizio vya hali tuliyo nayo mpaka lini? The man did what he thought was right at that time, unfortunately not all went well sasa what has been done since his departure? Nothing! angalau he was doing things. Whinning tuuu, Nyerere did his part, have you done yours?...they certainly are not doing theirs
 
Swali lako la HAVE YOU DONE YOURS? Linapaswa kuulizwa wanaomsifia vilevile.
 
Nadhani hawakumuelewa. Wengi wa waliopikwa nae walijifanya kumuelewa na kutimiza aliyowafundisha bila kuamini kuwa alikuwa sahihi. Sasa ndio wanajionyesha wazi wazi.
Recta,
Walimwelewa lakini walikuwa wanafiki. Umemuona Mkapa juzi pale Kampala kwenye sherehe anasema amefanya kazi na Nyerere tangu 1966 lakini ameshindwa kueleza ni lipi zuri alilojifunza au kuiga kutoka kwake. Alikuwa anajiumauma tu.
 
Zakumi,
Mkuu unajua kiswahili safi niseme unabisha kama mtu asokuwa na dini..Kafir samahani lakini stukani ila ni mfano na msemo wa mjini..
Nitakwambia kwa nini, Siku zote kafir huwa hana sababu zaidi ya matamanio yake. Mathlan hjapendi kuingia Uislaam kwa sababu hawali nguruwe, hataki Ukristu kwa sababu yeye ni Poligamy basi ili mradi abishe maswala ya dini na hata kumtukana Mungu..
Katika kusherehesha hii habari ya Kafir, siku moja nilimkuta mshikaji akimwagilia dawa garden yake.. Huyu ni Kurdish wale wairan wasiokuwa na dini.. Tukazingumza kidogo khusu dini akanambia yeye haamini dini kwa sababu huyo Mungu tunayemwabudu anawapa gharika binadamu kila siku matatizo mara vimbunga, matetemeko na kadhalika...Huyu Mungu gani mwenye kuteketeza..

Unajua nilimwambia nini?..Sikiliza sinema hii...
Nilimuuliza kama yeye ni mtu mzuri mwenye upendo akajibu Haswaaa! wee si unajua kwamba nawapenda binadamu wote kwa rangi zao na kadhalika..
Swali langu likafuata:- Hivi sasa hapa unafanya nini?..Akajibu sii unaona nafanya usafi, namwagilia dawa ya wadudu wasiharibu mimea (Lawn) yangu..
Well, mbona unaua wadudu?.. inakuwaje upendo wako upo kwa binadamu tu lakini wadudu huwaoni?.. basi kama unafanya usafi hata Mungu hufanya Usafi wake..kuna mazuri yanayotokana na gharika hizo.. wewe na mimi ndio hatuyaoni kama hawa wadudu.

Kifupi ni kwamba, mwalimu aliyafanya mengi kulingana na wakati ule.. Leo hii ametuondoka akifahamu kwamba Pluto ni Sayari na anaweza bishana hata na Mungu..Ndicho alichoelimishwa.. Ujamaa haukuwa amri ya mtu mmoja ila ni siasa ambayo ilitawala dunia kwa wale walioifuata kama vile dini..
Imani ya Ujamaa haikujengwa ktk biashara au shibe ya tumbo isipokuwa imani ya kujenga Taifa moja la watu wenye makabila tofauti, imani tofauti ili wafikie hatua ya kuweza kuboresha maisha yao wenyewe bila kutegemea misaada. NI maisha ambayo sote tumefundishwa na wazazi wetu kwamba ipo siku itafikia wewe utakuwa mtu mzima mwanamme ambaye utakuwa na mji na familia yako..Sasa hatua za kufikia utu uzima haziwezi kuwa ni chaguo lako bali hutokana na mazingira, elimu, ngekewa na mengine mengi tu yatokanayo na hapo ulipo..hakuna kiumbe anayefahamu mbele kuna nini..na mwalimu kama viongozi wengine aliuchukua Ujamaa kwa fikra nje ya Utajiri..ila to have a strong family..Bara lote la Afrika hakuna nchi hata moja iliyoondoka ktk Umaskini iwe wajamaa au Mabepari.. Kenya unayoiona haina tofauti na ile ya mkoloni isipokuwa tofauti zinakuja kutokana na wao kutazama mbele.. Uganda hao baada ya vita hatuwapati tena, Rwanda hiyo nchi huwezi kuifananisha hata na Mkoa wa Mbeya lakini tazmaa leo wako wapi!.. hakuna anayemlaumu Habyalimana wala mjomba wake isipokuwa sisi Wadangayika siku zote imani zetu ni za Uchawi tu.. roho za kikorosho na kila siku hufikiria kuna mtu anatukwamisha..
 
Bob:

Mzee mzima alikuwa mjanja lakini alinaswa kwenye tundu mbovu. Unaweza kusema mambo yote yale lakini bottom line ni kuwa Ujamaa sucks. Picha halisi ni walioshika nchi sasa. Hawa jamaa walikuwa wanakula na ku-breath ujamaa.

Vilevile tukirudi kwenye mada, watanzania ni wavivu tu wa kujisomea. Ndio maana vitu anavyosema Nyerere vinaoneka kama utabiri kumbe hivi ni vitu vilivyowahi kusemwa.
 
Zakumi,
Hawa walioshika nchi sasa hivi hakuna mjamaa, hawa ndio walikuwa wapinzani wakubwa wa Ujamaa..Hata kmwalimu alituonya dhidi yao hamkusikia..Huyo mzee wetu Malecela alobakia huko kama kuna wakati amepatikana basi ndio huu...yaani hajui afanye nini hana solution inapofikia Ubepari ukashikwa na Mafisadi..Je, huyo Mkapa wenu katukomboa sio...
Bottom line -Tunakufa na tai shingoni..
 
Mkandara:

Nchi inaongozwa na katiba sio maonyo ya Nyerere. Mpaka sasa mnanukuu tu alichosema Nyerere, wakati alichosema sio mwongozo wa nchi. Na Ujamaa sio mwongozo wa nchi.

Dola yoyote ambayo haina check and balance itakuwa na matatizo kama aliyopo sasa Tanzania. Na shukrani zote za kuwa na katiba isiyojali check and balance zinamwendea Mzee Julius kwa sababu alibadilisha katika hili ajilundikie madaraka.

Hivyo sioni sababu ya kusifia utabiri wake wakati ukiangalia katiba ya Tanzania, unaona wazi itatokea wakati watu watatumia madaraka yao vibaya.

Ukisoma decralation of independency (USA), ukisoma constitution (USA), utaona kuwa aliyotosema Utabiri wa Nyerere, yalishaonwa miaka zaidi ya 200 iliyopita na ni miongozo ya nchi.

Ukisoma Agano jipya si kuna sehemu inayosema kuwa kutatokea manabii wa uongo, watakaoponyesha na kutoa miujiza kwa jina la Yesu. Usemi huu si unafanana na aliyotabiri Nyerere?
 
Kosa kubwa la mwalimu lilikuwa kuwaamini vijana wake ambao ndiyo viongozi wetu wasasa aliwatoa vijijini kumbe wao walikuwa wanawaza kujitajirisha tu wao na marafiki zao na familia zao, walikuwa wakiombea mwalimu afe ili waanze ujambazi wao dhidi ya watanzania. Lakini angefanyaje ndio hao tu waliokuwepo! ndiyo maana wengine wanarithisha madaraka watoto wao kwasababu majitu mengine siyo maaminifu kwa wanadamu wenzao!
Angalia wanavyo hangaika kuwapenyeza watoto wao kwenye uongozi! yaani wanawazo kujineemesha wao tu na watu wao wa karibu....
Hawa ndiyo wanasababishe mwalimu atupiwe lawama kila mara na watu wasiofikiri, kwani wanataka misingi ya mwalimu ingeendelea tu kutupa raha maishani (hata baada ya mwalimu kufariki) bila kusimamiwa kwa umakini!
 
Sawa sawa lakini kudhani kuwa Nyerere anawezakusaidia kwenye hali tuliyomo kunanipa shia kuelewa. The man not only is dead but also decomposed. Tukae kusema tu huyu ndiye aliyetusababishai haya na hivyo tumekwisha? Ngekuwepo tungemwambia kama wanavyofanya wanaodai kusafishwa wanapokashfiwa na wahariri. Kwa kiwango na ukurasa sawa ulivyotoa habari hiyo nitake radhi. Tungemwambia nyerere kwa kiwango kile kile ulichotufikisha huku sahihisha.

Naheshimu hoja yako.Lakini.....Ukijikwaa ukadumaa na kubweteka pale ulipoangukia bila kwenda kuangalia na kutafiti pale ulipojikwaa, hutojifunza kutokana na makosa yako na zaidi hutajua nini kilikukwaza.Haya tuyaonayo leo ni matokeo ya Upuuzi ulofugwa na kulindwa kwa gharama ya Dola.Ili kutatua vurugu iliyopo ni lazima tujue asili ya vurugu hii.Hatuwezi kujadili asili ya vurumai za Tanzania na baadhi ya nchi za Kiafrika kama Zimbabwe Msumbiji Sudan Uganda Congo na Hata Jimbo la Biafra huko Nigeria bila kutaja jina Marehemu Nyerere.Hatuongelei mwili wa Nyerere tunaongelea mawazo yake ambayo bado yanadumu katika vichwa vya watu, tunaongelea matokeo ya siasa zake ambazo bado zinaleta madhara katika jamii yetu.Madhara ya uongozi wa Mwalimu Nyerere hayajafa wala hayafi leo kwa sababu yako katika mchanganyiko ambao ni upuuzi wa karne kuamua kuyauwa yote.Kama siku zote tunataja jina la Mwalimu kwa mazuri na hatokei mtu akatuambia Mzee huyu kafa na kaoza huko kaburini, jeuri ya kusema mzee wetu huyu kafa na kuoza huko kaburini pale tusemapo yasiyomema inatoka wapi?Chemchem moja haiwezi kutoa maji ya moto na baridi kwa wakati mmoja.
 
Mkandara:

Nchi inaongozwa na katiba sio maonyo ya Nyerere. Mpaka sasa mnanukuu tu alichosema Nyerere, wakati alichosema sio mwongozo wa nchi. Na Ujamaa sio mwongozo wa nchi.

Dola yoyote ambayo haina check and balance itakuwa na matatizo kama aliyopo sasa Tanzania. Na shukrani zote za kuwa na katiba isiyojali check and balance zinamwendea Mzee Julius kwa sababu alibadilisha katika hili ajilundikie madaraka.

Hivyo sioni sababu ya kusifia utabiri wake wakati ukiangalia katiba ya Tanzania, unaona wazi itatokea wakati watu watatumia madaraka yao vibaya.

Ukisoma decralation of independency (USA), ukisoma constitution (USA), utaona kuwa aliyotosema Utabiri wa Nyerere, yalishaonwa miaka zaidi ya 200 iliyopita na ni miongozo ya nchi.

Ukisoma Agano jipya si kuna sehemu inayosema kuwa kutatokea manabii wa uongo, watakaoponyesha na kutoa miujiza kwa jina la Yesu. Usemi huu si unafanana na aliyotabiri Nyerere?

- Sawa sawa mkuu, kwenye hili tupo pamoja sana.

FMEs!
 
Mkandara:

Nchi inaongozwa na katiba sio maonyo ya Nyerere. ?

Na Katiba iko mikononi mwa kina nanihiiiiiii...

By the way, kumbe nchi yetu inaongozwa na katiba na sio mahitaji ya kisiasa na kiuchumi ya walio madarakani kwa kutumia mgongo wa MASALAHI YA TAIFA ambayo ni wao, washika dua na hata makuwadi wao ndio wamejipa ukiritimba wa kushawishi, kuchambua na kuamua?

Ina maana katiba siku hizi ni kubwa kuliko misingi ya utaifa? Nini misingi ya utanzania vile? Na ni nani aliyeongoza katika kujenga misingi hiyo vile? Hivi katiba yetu hivi sasa ipo kwa ajili ya kulinda hiyo misingi ama kulinda MFUMO?

Ni vijiswali tu wandugu wa KISASA....unajua sisi WAZAMANI tunashidwa kuelewa vizuri haya mambo makubwa ya ninyi wakubwa zetu wenye ujuvi wa mambo ya kisasa.....

omarilyas
 
Back
Top Bottom