Jaydee apanga kutengenezewa beat na Dr. Dre

Kama ni kweli, Kila la kheri jembe langu, you will always be the best. praying 4 u.
 
NINA SIKIAGA KUWA KUSANGA ANAWAFANYAGA VIBAYA MADEM WA THT MWENYEKUJUWA ZAIDI JAMANI ILI TUWAOKOWE WATOTO KAMA TULIVYO WAOKOA KUTOKA MIKONO YA BABU SEYA:angry:
 
Hizo ni ndoto za alinacha. Lugha inagomba!

amejaribu ameweza me sikujuwi na wengine pia hawakujuwi wengine hum JF jiulize umefanya nini wewe au ndio umewapanga wanaume ndicho ulicho weza au jaliwa
USHAURI KAMA HUTOWEZA KUTUAMBIA ULICHO JARIBU NA KIKAONEKANA BASI KAJIFUNGIYE CHUMBANI ULIYE UKISHA MALIZA KAPIME....... JIBU SIRI YKO
 
Habari yenyewe ya mei 2012 ng'arama ya kutengeneza ni dora 100000 sawa na mil 150 za ki tz
 
Dr Dre yule yule aliewatwangia beat akina 2-Pac, Xzibit, Nate Dogg, Snoop Dogg, Ice Cube, Eve, Nas, Jay Z, Eminem, Mery J. Bridge, LL cool J, NWA, 50 Cent, the Game, Buster Rhymes, Warren G, Truth Hurt, Mark 10 na wengine weeeengi ndio huyuhuyu ataemtengenezea beat Judith?
Siamini, sitaki kuamini na atakaelazimisha niamini ntamtukana.
 
Jide ni msanii bora kwa apa kwetu,na ni msanii mwenye mafanikio kuliko msanii yeyote..hivyo sidhani kama hilo linashindikana kwake..all the besr
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom