Kafara
JF-Expert Member
- Feb 17, 2007
- 1,396
- 411
...
Siku moja MUNGU akipenda nitakuwa na ndege yangu labda, na hapo kwenye ki kadi kama hiki patakuwa pameandikwa MACHOZI AIR na sio Barrick Tanzania....
nadhani hizo ni ndoto zake. naamini mwenyewe ljd anaamini atapata mafanikio
zaidi ya aliyokuwanayo sasa.
naamini maoni ya pakajimmy yatafaa kumsaidia kuona ukweli wa challenge zinazoambatana na kumiliki ndege. ni jukumu la ljd kupima hizo challenges na kuona kama zinatosha kumfanya abadili malengo yake na badala ya ndege awaze kitu kingine. hata hivyo sio vibaya kuota kwani "asiye na ndoto ni sawa na mfu" lol.
ila majibu ya ljd kuhusu hoja hapa ndio nimechoka kabisaa. kwa kweli majibu yake ndio yamenifanya niisome hii thread kuona kama reaction yake ni sawa. binafsi nadhani hajaitendea vyema jf katika ujumla wake.