Jay zee ana mtoto wa siri nje ya ndoa

lodrick

Member
Dec 29, 2010
61
19
Wiki chache baada ya mke wa Rapper Jay-Z,Beyonce kudai ana ujauzito,Imefunguliwa kuwa Rapper Jay Z ana mtoto wa siri wa miaka 9 aitwaye Jerald Andrews,akidaiwa kuzaa na Schenelle Scott,model toka Trinidad

jigga.JPG

jay-z-and-child.jpg

Hapa kuna haja ya DNA kweli?
 
yaa DNA ni muhimu sana ili uhakika hasa kwa beyonce si unakumbuka suala la mkuu wa polisi fulani hapa nchini mpaka anatakiwa kutoa mabilioni ya tzs, hata DNA ilibidi ipite kwa huyu mpolisi!!!!!!!!!!
 
naona wanafanana sana kiasi kwamba hawaitaji DNA ku-confirm
 
wiki chache baada ya mke wa rapper jay-z,beyonce kudai ana ujauzito,imefunguliwa kuwa rapper jay z ana mtoto wa siri wa miaka 9 aitwaye jerald andrews,akidaiwa kuzaa na schenelle scott,model toka trinidad

jigga.jpg

jay-z-and-child.jpg

hapa kuna haja ya dna kweli?

mtoto ashauaga umasikini huyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom