Jay Mo• amshirikisha M.I.M.S kwenye wimbo wake

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,603
68,515
Msanii Juma Mchopanga aka Jaymo amefanya wimbo na msanii kutoka marekani ajulikanaye kwa jina la MIMS,jina la wimbo huo ni Never be me.

Big up Jaymo wimbo mzuri sana na umetutendea haki kwa chance hio na sio AY amepata chance na Master P na Lil Romeo ameenda kuimba viduku
 
Haina noma wakuu ngoja nitafute link niudondoshe,yani wadau bonge la wimbo tyt kinomaa,jaymo ajatuangusha,,AY inabidi afuate nyayo za jaymo sio anapata chance halafu anatuimbia viduku
 
JMo Namtabiria kuvunja mwiko kwenye Tuzo za ndani Mwaka 2012. Hajawahi kupata tuzo yoyote pamoja na kuwa mkongwe anaye-heat all the time. Tuzo na michongo atakayopata JMo itachangiwa sana na Harakati za VINEGA.
 
JMo Namtabiria kuvunja mwiko kwenye Tuzo za ndani Mwaka 2012. Hajawahi kupata tuzo yoyote pamoja na kuwa mkongwe anaye-heat all the time. Tuzo na mishongo atakayopata JMo itachangiwa sana na Harakati za VINEGA.

Si siku hizi yupo kambi ya virusi wa clouds? Kama ndivyo yes atapata.
 
Msanii Juma Mchopanga aka Jaymo amefanya wimbo na msanii kutoka marekani ajulikanaye kwa jina la MIMS,jina la wimbo huo ni Never be me.

Big up Jaymo wimbo mzuri sana na umetutendea haki kwa chance hio na sio AY amepata chance na Master P na Lil Romeo ameenda kuimba viduku

Wimbo mzuri na mixing iko kwa kiwango cha juu sana sidhani kama hii mixing imefanyika bongo, big up bro kazi nzuri.
 
Si siku hizi yupo kambi ya virusi wa clouds? Kama ndivyo yes atapata.

YES. Na ni huko kuwa kambi pinzani na kuwa mkongwe "anayefunikwa" na ma-presenterz lakini jukwaani na kitaani anawafunika wanaobebwa ndiko kutalazimisha ma-virus wampe haki yake. Scenario kama ya mwamba wa kaskazini against Gadner & Chid Benz kwenye Kili Awards
 
clouds wakisikia kuwa jamaaa kaenda kumshirikisha huyo mjameni wa USA bila wao kujua , jueni Jay MO, KAUMIA !
 
haina noma wakuu ngoja nitafute link niudondoshe,yani wadau bonge la wimbo tyt kinomaa,jaymo ajatuangusha,,ay inabidi afuate nyayo za jaymo sio anapata chance halafu anatuimbia viduku

hizo chuki binafsi na ambwene alikuchukulia dadaako au demu wako nn....viva le ay
 
hizo chuki binafsi na ambwene alikuchukulia dadaako au demu wako nn....viva le ay

Siwezi nchukia mtu kisa amenichukulia dada yangu au demu wangu,ukweli ndo huo kama wewe na AY mna uhusiano is up to you,No Homo,AY kaisha Speak with ur body ni trak mbovu ever,mtu anayekukosoa anakupenda wewe anzisha sredi uulize kama AY mziki wake vp unakua au? Utaona majibu yake,kushirikisha wanamziki wa nje sio ndo mziki wako unakua,unaweza ukashirikishwa ukaimba viduku kama alivyofanya AY.
 
isije ikawa kama teamo ya AY au ule wimbo wa kipuuzi wa ay na p skwea maana aibu tupu.
 
hizo chuki binafsi na ambwene alikuchukulia dadaako au demu wako nn....viva le ay

mkuu vipi au wewe ndo demu wa A.Y?watu wanafananisha alichofanya A.Y na JAY MO!!!!ni kweli A.Y alipata chance lakini hamna alichokifanya na mbaya zaidi ile nyimbo aliyofanya na ROMEO hata shooting ni mbovu kuliko hata za ADAM JUMA!huyo JAY MO ni nyota haijang'aa tu ila kwa bongo zaidi 90% ya wasanii wenzake wanamkubali na kujua uwezo wake!!sikiliza hilo pini ndo ujue msiba MCHOPANGA aliousababisha!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom