Jaribio la kuiba dhahabu katika mgodi wa Geita (GGM) lazimwa

Mungu ailaze roho ya Marehemu mahali pema peponi Amen, mimi siwezi kumuita jambazi bali ni mtetezi na mlinzi wa mali za watanzania zinazo ibiwa kila kukicha na wazungu,
 
jamani pamoja na ukweli kuwa ni tukio la ujambazi kama matukio mengine; imeniuma kuona jinsi amabavyo mali asili ya nchi hii inavyoondoka bila habari! imagine tani nzima ya dhahabu inatoka mgodini straight to SA! kweli hii ni sawa? sina utaalamu wa mambo haya but all i see ni uvushwaji wa mali ya nchi yetu kwa makaburu. in short hao wachimbaji mimi binafsi nawaona kama ndio majambazi :A S embarassed:
 
Edmond, ni kweli kabisa, mimi pia namuona kama mtetezi wa mali za mtanzania
 
That is one week shipments. Folks this shipment is done every week. Currently one ounce is sold $1608. 1 ounce = 31.1g. It means 1g of gold is $51.7042. 1kg of gold=$51704.2. 30 bricks of gold x 24 = 720Kg.
Weekly shipment = 51704.2x720= $37,227,024
Monthly shipment 37,227,024x4.3=$160,076,203.2
Annual shipment = $160,076,203.2x12=$1,920,914,438.4

Can African get angry if mzungu calls us a continent of dead brains?


Nimesoma Mesage yako, imenisikitisha sana! niliwahi kufanya kazi Resolute na GGM na bahati nzuri hata Gold Room napafahamu uyasemayo sijui kama watanzania wanayajua au wameamua kukaa kimya!

Maneno hayo uliyo tumia ni sahihi kabisa kila mtu akisikia lazima akuite hivyo tu "We have a dead brain".
 
Wadau huyu ni mmoja wa majambazi waliokuwa wanataka kuubakisha mzigo wa dhahabu yenye thamani kubwa sana hapa nchini, kama mnavyojua tukio halikwenda kama lilivotarajiwa na wengi baada ya jamaa kubugi step.
 

Attachments

  • Photo-0150.jpg
    Photo-0150.jpg
    481.1 KB · Views: 771
  • Photo-0149.jpg
    Photo-0149.jpg
    452 KB · Views: 815
  • Photo-0146.jpg
    Photo-0146.jpg
    372.1 KB · Views: 784
inakuwaje tena hiyo mipilot mizalendo inataka kurusha ndege yenye kesi.kile si kidhibiti kipelekwe kituo cha polisi kama kawaida kwa uchunguzi? Why safari iendelee wakati makilo waliyodeclare ni machache kulinganisha na iliyokutwa ktk tukio?Argh
 
Japo alikuwa anajipigani binafsi (kuiba) namwombea alale mahala pema mbinguni
 
Hee huyo Al shabab nini?

Hongera sana yule Mtasha aliyepigwa risasi ya mkono lakini bado akawa na uwezo wa Kumchana jambazi yz Shingo.
 
Wadau huyu ni mmoja wa makamanda waliokuwa wanataka kuubakisha mzigo wa dhahabu yenye thamani kubwa sana hapa nchini, kama mnavyojua tukio halikwenda kama lilivotarajiwa na wengi baada ya jamaa kubugi step.

Je unajuwaje kama huyo jamaa alikuwa ni m-TZ?
 
Angefanikiwa ningefurai sana tu alale kwa amani na kafanya Jambo lakishujaa sana
 
Back
Top Bottom