Japo niridhike

Kosa kubwa alofanya ni kulipa kisasi kwa ubaya wa mumewe hata hivyo maji yashamwagika kinachotakiwa asimwambie mumewe kilichokuwa kinaendelea ila amtimue huyo mfanyabiashara na asionane naye tena..arudishe majeshi yote kwa mumewe. halooooooo

Nimekutafuta kweli dia, kumbe ulikuwa huku!mbona hukuniaga?
Haya nipe jibu langu basi!!!!!!!!!!
 
Nyamayao:

Kati yao wote hao hakuna aliyekwisha ambukizwa VVU?

- your friend
- your friend's man
- your friend's hawara
- your friend's hawara's wife
- your friend's hawala's wife' hawara

and the list goes on!

Kama yupo basi waendelee - Sinza Makaburi yanaonekana kujaa, Kisutu nadhani pia yamejaa - Kinondoni kule chini watu washanunua - labda waje mitaa ya huku Bunju kushika nafasi ya makaburi mapema!:rip:

kwa maelezo ya my frnd....alivyoona mume kahamia kwa hawara aliamua kwenda ku check afya yake akawa yupo fit, alipoanza uhusiano ya mfanyabiashara walianza kwa kutumia kinga waliponogewa walitaka live, walikubaliana kupima wakajikuta wazima, mume alivyorudi home mke alimpa sharti la kufanya nae mapenzi bila kinga mpaka wapime angalau mara mbili,mara ya kwanza walikutwa wote wazima......
 
Kosa kubwa alofanya ni kulipa kisasi kwa ubaya wa mumewe hata hivyo maji yashamwagika kinachotakiwa asimwambie mumewe kilichokuwa kinaendelea ila amtimue huyo mfanyabiashara na asionane naye tena..arudishe majeshi yote kwa mumewe. halooooooo

:ranger::ranger::ranger::ranger:
 
LUV una details za hili saga utadhani ni wewe mwenyewe!:doh::doh:
 
Hapo kwenye bold... ina maana kama angepata mtu wakati mumewe hakuwa na mtu, kosa lingekuwa dogo? Ina maana kisasi ndio dhambi?

hakuna cha kosa dogo hapo!kaam angempata mwanaume kabla: hilo ni kosa kwakuwa ametoka nje ya ndoa yake
La hasha alivyokuja kulipiza kisasi ndo amemaliza mazima! kwenye ndoa ubaya haulipwi kwa ubaya WoS!!!!!!!!!!
 
Asprin...mfanyabiashara anajua hilo toka hata hawajaanza kumtongoza ni watu waliokuwa wanakutana church, town, yaani wanafahamiana ile ya kusema huyu ni mke wa jamaa fulani hivi anafanyakazi mahali fulani, cjui naeleweka?sio ile fahamiana ya ukaribu sana ntaweza kusema ile ya kuonana mara kwa mara town, walivyokubaliana kuanzisha uhusiano bac ndio wakajuana ki undani na mfanyabiashara akapata moyo wa kumsadia mdada.

Hapo kwenye blue...Hawa wazinzi wanaenda kufanya nini kanisani? Mbona wanataka Mungu aingiwe na ile hasira yake ya zamani?

Ila huyo mwanaume hana akili timamu kichwani. Inakuwaje unajua huyu ni mke wa mtu ukafanya yote aliyoyafanya? Kumegana, sawa, yaweza kuwa tamaa ya miili. Lakini ndio mpaka umnunulie gari, tena umbadilishie kabisa? Umjengee nyumba? Yani unaweka ushahidi kwenye mahusiano na mke wa mtu? Huyu mfanyabiashara si chizi? Hivi huyu mama akiamua kurudiana na mume wake, huyu chizi mfanya biashara atadai gari na nyumba yake?

Nyamayao darling...mshauri rafiki yako amrudie mume wake. Aftaroo wote wametoka nje ya ndoa. Ni rahisi kusameheana na kusahau na kuendelea na maisha. Tayari wana faida ya gari na nyumba, Mungu awape nini.

Afu niPM nikupe namba za mama Matesha umpe mfanyabiashara aje animegee, amjengee nyumba na kumnunulia gari. Hilo kwangu halina shida, ili mradi haondoki na kikojolea cha mama Matesha wangu. Ila ajue akishamaliza kujenga, anatakiwa a-keep distance kabla sijaigeuza sura yake kuwa bucha la kitimoto!
 
Tatizo hapo Nyamayao ni huyo bidada kulipiza kisasi!jamani kisasi kwenye ndoa kinauma kweli asikwambie mtu!hakutakiwa na yeye aende kwa huyo mfanyabiashara, eti kupata tulizo la moyo!BIG NO!

jamani...ninaomba mnielewe kitu kimoja ckubaliani na kauli kwamba frnd wangu alifanya hayo kulipiza kisac, ninajua hii ishu mwanzo mwisho, ni mambo ya kimwili jamani yakaja kuzaa mapenzi moto moto, hata walivyoanzana frnd wangu alikuwa sio kivile, cku akijihc ndio atamtafuta huyo mfanyabiashara na alikuwa nae huyo tu, lakini mfanyabiashara yeye alikuwa namtafuta frnd wangu kama kawaida tu akitaka kuvuta mazoea karibu, kilichotokea ndio hicho miaka miwili wapo pa1 mapenzi yamenoga...miaka miwili mue akugus ndani mchezo?
 
Tatizo hapo Nyamayao ni huyo bidada kulipiza kisasi!jamani kisasi kwenye ndoa kinauma kweli asikwambie mtu!hakutakiwa na yeye aende kwa huyo mfanyabiashara, eti kupata tulizo la moyo!BIG NO!

Hakulipiza kisasi bali huyo dada alitelekezwa we bacha miaka miwili mtu hajui watoto wanakula nini au wanalipaje ada halafu unasema kwamba alilipiza kisasi sa huyo dada alitakiwa akae tu awaangalie watoto hawali wala hawaendi shule jaribuni kuwa na utu jamani fanyeni mambo yenu lakini mjali familia zenu. Mi mzazi mwezangu aliwahi pata janamuke la kimachame mwaka mzima akawa hatunzi mtoto cku aliyojirudi kutunza nikamtolea vitu vyote na marisiti ya ada mtoto aliyokuwa analipiwa na baba mwingine alikoma na kuumia sana mpaka sasa ukikohoa tu mtoto hana hiki kinatumwa haraka haraka anaweza hata kwenda kukopa so huyo mwanaume aambiwe ukweli na hiyo ndoa itaendelea kwa amani
 
Kosa kubwa alofanya ni kulipa kisasi kwa ubaya wa mumewe hata hivyo maji yashamwagika kinachotakiwa asimwambie mumewe kilichokuwa kinaendelea ila amtimue huyo mfanyabiashara na asionane naye tena..arudishe majeshi yote kwa mumewe. halooooooo

Kumbe ndo zako eh?
 
Swali ambalo linaniijia kichwani ni Je, Huyu dada yuko tayari kuachana na huyo mfanyabiashara? Na Je? Huyo mfanyabiashara naye yuko tayari kuachana na huyu dada?

Hiki ndio kinatakiwa kifanyiwe kazi
 
Hapo kwenye blue...Hawa wazinzi wanaenda kufanya nini kanisani? Mbona wanataka Mungu aingiwe na ile hasira yake ya zamani?

Ila huyo mwanaume hana akili timamu kichwani. Inakuwaje unajua huyu ni mke wa mtu ukafanya yote aliyoyafanya? Kumegana, sawa, yaweza kuwa tamaa ya miili. Lakini ndio mpaka umnunulie gari, tena umbadilishie kabisa? Umjengee nyumba? Yani unaweka ushahidi kwenye mahusiano na mke wa mtu? Huyu mfanyabiashara si chizi? Hivi huyu mama akiamua kurudiana na mume wake, huyu chizi mfanya biashara atadai gari na nyumba yake?

Nyamayao darling...mshauri rafiki yako amrudie mume wake. Aftaroo wote wametoka nje ya ndoa. Ni rahisi kusameheana na kusahau na kuendelea na maisha. Tayari wana faida ya gari na nyumba, Mungu awape nini.

Afu niPM nikupe namba za mama Matesha umpe mfanyabiashara aje animegee, amjengee nyumba na kumnunulia gari. Hilo kwangu halina shida, ili mradi haondoki na kikojolea cha mama Matesha wangu. Ila ajue akishamaliza kujenga, anatakiwa a-keep distance kabla sijaigeuza sura yake kuwa bucha la kitimoto!

we una uhakikia sio mzinzi na hauendi church kwani dhambi ni uzinzi tu?
 
Duh!!!!Aspirin, umenikumbusha lile tangazo la mpira wa makaratasi kwenye TV!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
The Moral of the Story:::

Kila mwanaume unapogonoka out-of-wed-lock mwanamke naye hufanya hivyo hivyo! The difference is mwanamke "hawezi kukesha"

"To every action there is EQUAL and OPPOSITE reaction" - Thanks to Newton
 
SIO RAHISI KWA HUYU MDADA KUACHANA NA HUYU MFANYA BIASHARA,iana vyoonekana hata kama ataficha siri bado wataendelea tu kula tunda,mimi nadhani ni bora tu awe muwazi kama jinsi alivyokuwa muwazi mmee wake.hapo kila mmoja anamakaosa hivyo sioni kama kutakuwa na sababu ya mwanamme kumchukia mke wake wakati alimwacha yeyemwenyewe.
Ni ukweli tu ndio utakao waweka huru wao wote na kurudia maisha yao ya zamani,lakini kama atamficha hiyo familia haitakuwa na Amani kamwe.

unadhani huyu mume angekuwa muwazi kwa mke wake kama sio tatizo lililotokea la kumfumania hawara?...mbona alimuumiza sana hapo nyuma na bila kumuonea huruma wowote, yeye katendwa akakumbuak kivuli cha kujifichia jua....muwe mnaongelea kote kote jamani, kila mtu ana roho ya nyama.
 
we una uhakikia sio mzinzi na hauendi church kwani dhambi ni uzinzi tu?

Mimi siendi kanisani kwasababu sipendi kumuudhi Mungu. Unatoka kumega jumamosi jioni, jumapili unaenda church, ukitoka church unapitia gesti kumega....Huyu Mungu mnamuonaje?

Vipi wewe unaenda kanisani japokuwa unamegwa?
 
In the end lies do hurt more than the truth. That's why it's better just to go ahead and say the truth one way or the other and just get the situation cleared out. It can be situational but mostly always the lies hurt more in the very end.
 
LUV una details za hili saga utadhani ni wewe mwenyewe!:doh::doh:

my luv, ni mtu wangu wa karibu sana sana, kuanzia saga ninaanza, bado hajamjua hawara, nilimsaidia kujua hawara na kashkash zote, so kina step inayochezwa naijua.
 
Back
Top Bottom