Japo niridhike

samahani kaka umeoa?.....ukatili huwa mnauanzasha nyie sie tunafanya kumalizia tu, imagine mume wako mpenzi umezaa nae watoto wawili wazuri anakuja kukutelekeza wewe na watoto bila huruma, unamuomba mkae chini akueleze bac tatizo limetokea wapi ili m solve mrudie ndoa yenu tamu inakuwa ugomvi na akitoka hapo harudi home week nzima, na akija ni anachukua nguo wenye begi za kurudi kwa hawara...wewe wewe wacha kabisa....mkilianzisha mjue kulimalizia....hiyi nyumba aliyonjengea hawara na biznec kubwa aliyomfungulia ambayo niliishuhudia mie pia, nilifanya kwenda hapo kumjua huyo hawara mwenye kumtesa rafiki yangu kihivyo, vyote hivyo angewekeza kwenye familia yake mambo yangekuwa matamu zaid i kuliko majuto anayoyapata sasa hivi.

Acha visasi la sivyo mbigu huioni we mama, kwani umeleta hii mada wachangie walioooa tu
 
hapo ndoa hamna mie nakwambia wameshaachana hao ila tu wanaishi kwa kuwa wana watoto ila dakika yoyote ndoa yao inavunjika rasmi, huyo m/ume atakapoambiwa ukweli ndio mwisho wa ndoa, na hao wote ni wakosefu wakubwa sana hakuna mwenye nafuu. Siku zote malipo ya dhambi uwa hapahapa duniani na si mbinguni na watalipwa hao hapa hapa duniani

halafu hao nao ni wanaume wa wapi wanapojengea nyumba w/wake ovyo ovyo bora huyo wa nyumba ndogo (m/ume) alijenga labda kwa kufikiri anajenga kwa ajili ya mtoto ila huyo anayemjengea nyumba mke wa mtu ndio hana akili hata punje maana kuna siku ya siku mambo ya kitibuka unaweza kutolewa uhai bila hata kupewa sekunde ya kutubu

Imagine unakuta mkeo kajengewa nyumba na mwanaume mwingine tena ndani ya ndoa na nyumba ni mali ya mkeo halafu bado mko kwenye ndoa na jamaa aliyemjengea bado yupo, nakwambia kwa hilo hapatakalika na wala ndoa haitakuwepo tena hapo ni ugomvi tena mpaka mauaji yanaweza kutokea

Ushauri: Mwambie huyo rafiki yako aombe talaka au ajiandae kuondoka nakwambia hiyo ndoa itakuwa na mwisho mbaya sana na mpaka mauaji yanaweza tokea hapo utakuja tuambia siku moja na huyo mwanaume kuna kitu kinaendelea kichwani mwake sio bure tu

sasa Funza huoni kwamba mke akiomba talaka sasa hivi na vuguvugu lililopo litaleta hatari zaidi? na mume cdhani kama atakuwa tayari kubaki mpweke kiac hicho, akose mke amekosa hawara...mhhh mnajitakiaga mengine, umeuliza huyo mfanyabiashara anawezaje kumjengea nyumba mke wa mtu? labda nitasema kuna watu wana pesa ziczo na mawazo, nyumba nzuri sana nimeshaiona na ilijengwa haraka sana, nasema ana pesa czizo na mawazo coz anajua mume karudi kwake lakini bado kaenda ku deposit pesa ya mtoto ya skul, na kitu mume kinammaliza zaidi jamaa ni mfanyabiashara mkubwa mjini, ana mtandano wa kumtosha, juzi mume alijua huyo mfanyabiashara yupo hotel fulani na wenzake wanapata kinnywaji akaenda kumchukua mke ofcn jioni akamwomba wapitie pale, cjui jamaa alitaka kufanya nn lakini kila mtu aliendelea na shughuli zake za kinywaji kama vile hakuna linaloendelea chini ya jua, mke anakwambaia hakutaka kufanya kosa hata la kwenda toilet.
 
Hapa hatuzungumzii wakwako bali wa shoga yako, wa kwako muachie wa kwako- ya ngoswe kuitwa ngoswe mwachie ngoswe mwenyewe, kama mtoto kalilia wembe c apewe

nilikutolea mfano kaka, kukuonyesha kama wewe uanweza kusamehe wengine hawawezi kusamehe, na huyu mke hana hakika kama mume alkiambiwa atalichukuliaje ndio mana tangu jana akakana.
 
Nyamayao endelea na msimamo huo huo kuwa asithubutu kumwambia kabisa huyo mumewe ila tu apunguze taratibu mwendo wa mfanyabiashara kisha aache kabisa lakini kumbwamiba BIG NOOOOOOOOOOOOOOOOOO

Hapa nakubaliana na wewe Dena.....ni kweli mambo yanaweza kuwa mabaya zaidi kama atamwambia ukweli......muhimu kama ulivosema, aachane na mfanyabiashara taratibu

Nina uhakika anampenda MUme wake kwa mfanyabiashara alienda tu basi kwa sababu ya msongo wa mawazo...maadamu amerudi na yeye arekebishe

Wanaume sisi....hatuwezi sana kupambana na issue kama hizi

akimwambie ukweli mwanaume kwa inferiority complex anaweza hata kujiua
 
hebu huko na wewe....sema huyu mdada afanyaje, mie cna muda wakukaa na kuchangamsha jamvi.

Hebu mweleweshe huyo rafiki yako kwamba hawezi kuwa na mme na mfanyabiashara kwa pamoja....
 
Hapa nakubaliana na wewe Dena.....ni kweli mambo yanaweza kuwa mabaya zaidi kama atamwambia ukweli......muhimu kama ulivosema, aachane na mfanyabiashara taratibu

Nina uhakika anampenda MUme wake kwa mfanyabiashara alienda tu basi kwa sababu ya msongo wa mawazo...maadamu amerudi na yeye arekebishe

Wanaume sisi....hatuwezi sana kupambana na issue kama hizi

akimwambie ukweli mwanaume kwa inferiority complex anaweza hata kujiua

Ndio maana huwa nakupenda ulikuwa wapi muda aisee!!!! Kula na thanks yangu basi
 
Nyamayao endelea na msimamo huo huo kuwa asithubutu kumwambia kabisa huyo mumewe ila tu apunguze taratibu mwendo wa mfanyabiashara kisha aache kabisa lakini kumbwamiba BIG NOOOOOOOOOOOOOOOOOO

mume alienda mpaka kampuni ya cmu kufanya maarifa ajue kinachoendelea kweny cm ya mke, unajua wanaume wanajifanyaga wajanja sana lakini hawana ujanja wowote kweny ishu kama hizi, hakuambulia kitu, hata no ya cm ya mfanyabiashara mke hajawahi save kwenye fone yake, hakuna msg wala calls, mke na mfanyabiashara wanawacliana kwenye landline ya ofc, baada ya ofc hakuna mawacliano....wamepunguza lakini mawacliano yapo kama kawaida, sio lazima mfanyabiashara apeleke kitu ofcn kama my frnd anahitaji, bali anatuma mtu baki kabisa cjui anamuokotea wapi rough rough fulani anafikisha anachotaka kufikisha analipwa ujira wake mchezo umeisha....nyie wanaume nyie mnatafutaga matatizo wenyewe.
 
Hapa nakubaliana na wewe Dena.....ni kweli mambo yanaweza kuwa mabaya zaidi kama atamwambia ukweli......muhimu kama ulivosema, aachane na mfanyabiashara taratibu

Nina uhakika anampenda MUme wake kwa mfanyabiashara alienda tu basi kwa sababu ya msongo wa mawazo...maadamu amerudi na yeye arekebishe

Wanaume sisi....hatuwezi sana kupambana na issue kama hizi

akimwambie ukweli mwanaume kwa inferiority complex anaweza hata kujiua

Hii ni kweli,ukizingatia jamaa ni 'mfanyabiashara mkubwa na ana mtandao wa kutosha' ..noma
Mama akae tu kimya ila amalize mahusiano na huyo mfanyabiashara taratiibu
 
Hebu mweleweshe huyo rafiki yako kwamba hawezi kuwa na mme na mfanyabiashara kwa pamoja....

ataweza tu ikibidi
mbona nyie wanaume mnakuwaga na mke na hawara kwa pamoja
infact ni mahawara,a number of them
 
siku zote ktk mahusiano mtu hujirudi baada ya kugundua kuwa alikuwa anafanya kosa na si kama mnavyofikiria huyu jamaa amepata funzo kubwa sana maishani ndio maana amemrudia mkewe na msidhani kama alichofanya huyu mke ni sawa, hapana yaani hapa wametengeneza tatizo kubwa sana ambalo mwisho wake si mzuri

unaju mie cmsapoti my frnd kwamba kafanya kitendo kizuri, mie nipo 50-50 hapa tena nawezasema lawama nitazitanguliza kwa mume ndio alisababisha yote haya, kama yeye acngefanya alichofanya haya yote yangetokea wapi?...nani ana hakika kama kweli huyu mume ataichukulia hii hali ya kikawaida/kirahc? mfanyabiashara ana network kubwa mjini, mume aifanya hata kutaka kumuuliza mfanyabiashara lolote litaleta shida kubwa, ndio mana anataka ku deal na mke wake, nani anajua mume akishaambiwa atamfanyaje mke wake?
 
alivyoona hivyo alirudi kwa mkewe na kumuomba msamaha wa kutosha na kumuelezea kila kitu kilichotokea kwa hawara...mke kaamua kumsamehe na kwa maelezo ya mke ni kwamba amejirekebisha sana, ishu ya sasa ni mke na mfanyabiashara, mfanyabiashara nae huku amemjengea mke nyumba nzuri, juzi juzi kambadilishia gari nzuri anawasomesha watoto wa my frnd tangu mume alivyotekwa huko alikuwa hajui watoto wanalipiwaje ada au wanakulaje hapo nyumbani, ni kama ndio aligeuka baba mzazi wa watoto..... mume amekuja dokezwa kwamba mke ana uhusiano na mtu fulani, mume amepeleleza vya kutosha lakini hajapata ushahidi,

Yanikumbusha ile thread yangu ya juzi ya "Baby come back.............."
 
mume alienda mpaka kampuni ya cmu kufanya maarifa ajue kinachoendelea kweny cm ya mke, unajua wanaume wanajifanyaga wajanja sana lakini hawana ujanja wowote kweny ishu kama hizi, hakuambulia kitu, hata no ya cm ya mfanyabiashara mke hajawahi save kwenye fone yake, hakuna msg wala calls, mke na mfanyabiashara wanawacliana kwenye landline ya ofc, baada ya ofc hakuna mawacliano....wamepunguza lakini mawacliano yapo kama kawaida, sio lazima mfanyabiashara apeleke kitu ofcn kama my frnd anahitaji, bali anatuma mtu baki kabisa cjui anamuokotea wapi rough rough fulani anafikisha anachotaka kufikisha analipwa ujira wake mchezo umeisha....nyie wanaume nyie mnatafutaga matatizo wenyewe.

Nimeipenda akili ya huyo dada ghafula
 
Safi kabisa hakuna kuleta mchezo hapa. Wanaume bwana wanaanzishaga vitu tukimalizia wanakuwa hoi. HAWATUWEZI. Mwambie asiseme kabisa ila apunguze taratibu kwa mfanyabiashara then amuache kabisa
 
Hapa nakubaliana na wewe Dena.....ni kweli mambo yanaweza kuwa mabaya zaidi kama atamwambia ukweli......muhimu kama ulivosema, aachane na mfanyabiashara taratibu

Nina uhakika anampenda MUme wake kwa mfanyabiashara alienda tu basi kwa sababu ya msongo wa mawazo...maadamu amerudi na yeye arekebishe

Wanaume sisi....hatuwezi sana kupambana na issue kama hizi

akimwambie ukweli mwanaume kwa inferiority complex anaweza hata kujiua
u mwanaume mwenye busara sana
mshukuru mungu kwa ilo
unaujua ukweli ..na una elimu ya utambuizi ya kutosha...umenikosha apo ulipogundua kwmba dada alikuwa na mfanyabiashara kwa sababu ya msongo wa mawazo na alikuwa desperate klwa wakat uo
nidai fanta moja tafadhali......
 
Acha visasi la sivyo mbigu huioni we mama, kwani umeleta hii mada wachangie walioooa tu

kaka samahani, kama unaona huwezi kuelekezana na mie kwa ustaarabu unaweza kuacha kuniuliza lolote, naomba ucnitibue tafadhali, nimekuuliza kwa uzuri tu na cjasema nimeleta mada hapa ili wachangie waliooa bali nilitanguliza na samahani nikakuuliza kama umeona kama ulikuwa huweizi jibu kistaarabu ungenyamaza...plz ucniharibie cku....mambo ya kuona mbingu wewe umeshaioa? na kama umeiona ki mapngo wako niache mie na yangu..alaa.
 
Back
Top Bottom