Japanese Language for beginners

Developer

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
446
503
Wakuu nataka kujifunza kijapan, beginners stage, kwa yeyote anayeweza nishauri nianzaje ili niweze kusoma for the shortest time as possible, ntamshukuru sana. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
utajifunzia kwenye chuo cha kijapani au mwenyewe?Unaweza kupata info za kujifunza kijapani kupitia ubalozi wao pale dar.Sio lugha ngumu kujifunza maana matamshi yake na maneno yake yanafanana na kiswahili,isipokua zile character wanaziita kanji hapo lazima jasho likutoke.
 
Kijapan mwanangu mhhh kijasho kitakutoka, hata hivyo penye nia pana njia na lugha yoyote kama utajifunza katika mazingira yake kufanikiwa ni rahisi. Nenda ubalozi wa Japan pale Dar watakusaidia
 
utajifunzia kwenye chuo cha kijapani au mwenyewe?Unaweza kupata info za kujifunza kijapani kupitia ubalozi wao pale dar.Sio lugha ngumu kujifunza maana matamshi yake na maneno yake yanafanana na kiswahili,isipokua zile character wanaziita kanji hapo lazima jasho likutoke.

najifunza mwenyewe just for beginners, hiyo intermediate na advanced stage ntajifunza kwenye chuo cha kijapani..,
 
Back
Top Bottom