Japan scholarships.

Kottler Masoko

Senior Member
May 28, 2010
193
28
Mambo vp wadau,
Fungueni link hiii ya scholarship toka ubalozi wa Japan Tanzania.

Please fanya msaada na kuwaeleza Watz wenzetu wasiyokuwa na access ya JF.

Peace..!!

www.tz.emb-japan.go.jp/study.html
 
Pole Kiongozi, hizo ni Pdf files unatakiwa kuwa na adobe reader, au kama una window 7 itafungua kawaida. sio cha kufanya:
1.open the link.
2.right click hiyo file unataka.
3.Click ''save link as''
4.choose where to save.
5.Save and then open link a pdf file.
Note:
Kwa msaada zaidi waone wazee wa Teknolojia ktk jukwaa lao , waeleze na uwape hizo link watakusaidia.

Thanks,
Kottler.
 
Back
Top Bottom