January.....na kelele za kila mwaka..

He he he,
HC kantumia dola 500
na hii 200 yako
ntakuwa poa kwa mwezi mzima

Wewe usitake niharibu thread ya mkuu....!

Hashy nilimuomba hela akasema atakupa uniletee, we umedhani za kwako?

Akupe una nini sasa Kongosho,mbona mchokozi??
 
si ulinifundisha 'sharing is caring'
alisema ni yangu, mie shemejie

Brother from same mother :)

Wewe usitake niharibu thread ya mkuu....!

Hashy nilimuomba hela akasema atakupa uniletee, we umedhani za kwako?

Akupe una nini sasa Kongosho,mbona mchokozi??
 
January yangu safi sana, niliweka pesa kuanzia September 2011, fika december nikaenda zangu leave, nika furahia sales na sikuharibu bajeti yangu kabisa! Alafu isitoshe kuna mtu wangu wa karibu alinizawadia hela...
 
That's my girl...unaongelea ile zawadi twin wako nilikutumia?? lol
 
January yangu safi sana, niliweka pesa kuanzia September 2011, fika december nikaenda zangu leave, nika furahia sales na sikuharibu bajeti yangu kabisa! Alafu isitoshe kuna mtu wangu wa karibu alinizawadia hela...
Mtu wa karibu au ndio anaekula huo mtende? kuna hela ya zawadi siku hizi?
 
The Boss hicho kimekuwa ni kibwagizo cha kukimbia jukumu lilijitokeza kwa mda huo, kwamba kimazoea imeshakubalika kuwa january ni mwezi wa ada na kodi ya nyumba lol.....
Na hzo kauli utazisikia kama mtu anadaiwa au ana kitu ambacho kwake binafsi sio cha msingi kivile!
 
Hivi hapa tunamzungumzia Januari Makamba? Manake kma ni mwezi wa kwanza wa mwaka always nakuwaga na hangover kisha inaextend mwaka mzima!
 
Back
Top Bottom