Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,999
- 24,163
20 % bana.
Ntashindwa kulipa.
Ntashindwa kulipa.
Nakopesha. . . ila ukirudisha nataka 30% faida.
Nakopesha. . . ila ukirudisha nataka 30% faida.
20 % bana.
Ntashindwa kulipa.
hujakosea sana
mimi naona tuishi kama wahindi tu
tuanze kuinvest huko huko kwa Obama
unaishi bongo but unanunua stocks za google na chevron hivi
na unakuwa kwenye us economy ikibidi,na tax returns za huko huko...lol
hali ikiruhusu....
Tanzania bado ni nchi changa sana kiuchumi
bado inahitaji mitaji itoke nje ije ndani
kutoa mitaji hapa na kuipeleka nje ndo itakufa kabisa.
sizungumzii mitaji mikubwa
hivyo hivyo vidola 2000 vyetu tuviwekeze nje
hata huko kenya aisee
hii nchi hata sijui itaamka lini....inflation now nasikia 40 asilimia
Kenya tu inatuacha aibu saana
umenikumbusha aisee
nimeona hata wakenya wana tax returns
nikawa najiuliza bongo haya mambo vipi na lini??????
Kenya tu inatuacha aibu saana
Yanakuja,ngoja ID ziwe tayari.
najua lakini kiwango ndo kinaudhi
wanatuaaacha saaana......
Kwasababu tumezubaa sana.
Kuna vitu vingi vinachangia hapa
Kuanzia utashi wa kisiasa
mfumo
elimu na exposure
culture
lakini nadhani utashi wa kisiasa lina nafasi kubwa zaidi
Maelewano ndani ya nyumba ni madogo sana mwezi huu, kwa kifupi Watanzania tunaishi kwa kuungaunga tumepigika ila hatukubali kupitwa na mambo, otherwise asilimia kubwa ya wazazi ilipaswa watoto wasomeshwe kwenye Public school lakini ndio hivyo tena, ila hili swala la Janualy nimeliona hata Sweden lakini tofauti wenzetu hawaishiwi kabisa na hawajui kitu kinaitwa ada ya shule.ukiacha wenye tax returns naona unaomba jamvi msibani lol
kwa muungwana anirushie basi hata dola 200 kwa M-pesa.
Tayari dear, umeziona?? kama hazitoshi niongeze....utajibeba mwaka huu,ndo kwanza january