January na kamati yake wanaelekea Songas

Mkeshaji

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,262
1,416
Wakuu,
Nimekutana na Toyota Coaster imebeba wabunge wa kamati ya Nishati na madini akiwemo January hapa maeneo ya upanga wakiwa wanaelekea Morogoro road. Inasemekana wapo katika jitihada za kutembelea mitambo ya umeme na saa hizi wanaelekea Songas halafu Wartsilla.
Mwenye habari kamili atujuze.
 
Wartsilla tegeta? Ngoja tutegeshe mabomu tuliyoyaokota gomzi yawalipue wafilie mbali
 
Kamati itakuwa ya Januari makamba, tumedanganywa tu hana jipya maana akirudi anamsimulia Makamba baba halafu wanaweka wayfoward pamoja
 
Back
Top Bottom