January, Mnyika wapendekeza kutumika kwa mitambo ya Dowans kupunguza mgao wa umeme

Stiegler's proposal ilitolewa toka miaka ya 80 mwanzoni. Kwakuwa kama RUBADA wataruhusiwa kuzalisha umeme basi hakuta kuwa na Ukiritimba wa TANESCO, Kuna wachache watapoteza kula, Ndio maana TANESCO HAWATAKI KURUHUSU MRADI WA UMEME KUTOKA BONDE HILI.
Bado najatokea mtu mmoja shujaa kulazimisha ufuaji wa umeme toka Rufiji. HAIINGII AKILINI KWA NINI TUHANGAIKE NA MITAMBO YA DIZELI WAKATI KUNA CHANZO CHA ASILI KITACHOTOA UMEME MARA MBILI YA MAHITAJI YA NCHI KWA SASA HIVI.
Ni AIBU KWA WANASIHASA KUAHIDI KUPELEKA UMEME SEHEMU ZISIZOKWWNYE GRIDI YA TAIFA WAKATI SEHEMU ZILIZOUNGANISHWA ZIPO GIZA. Nimechoka
 
Back
Top Bottom