ni ukweli ulio wazi sasa Kamati ya January italizia Dowans kuwashwa soon, masaa mawili yajayo mtapata habari kamili:embarrassed::embarrassed::embarrassed::embarrassed:
mnyika is very right, mitamb itaifishwe tu!
Ikiwashwa bila kutaifishwa kutakuwa na maswali mengi zaidi,je watagive in?Tusubiri tuone.mnyika is very right, mitamb itaifishwe tu!
khaaa Dowans gani tena..Mbona mwanaichanganya nyie wana !!! Dowans ipi??
sasa kama dowans hawajulikani hata na mr minority president sasa ili kuiwasha wataongea na nani au kwakuwa mwenyewe hajulikani basi tuitaifishe tu kwakuwa wenyewe si wanaikataa......
kweli rostam kichwa kaamua kuweka mgoa wa umeme nchi nzima ili mkampigie magoti sasa mnamuomba live muwashe kidogo giza limezidi hadi bungeni watanzania tujipe pole kwa hili
Mitambo ya Dowans ni ya kutaifisha hakuna haja ya kununua wala kukodisha kwani hata serikali ikununua mitambo ya Dowans bado si suruhisho la kuondoa tatizo la mgao wa umeme, machine zitafanya kazi siku moja mbili watasema zimeharibika na wao wanaendelea kulipwa za bure.
Solution ni kungalia chanzo kingine cha umeme na kuhakisha taratibu za kununua na kuanza kuzalisha tayari utafiti na paper zilishaandikwa na wataalamu kwa vyanzo vifiatavyo
1. umeme kwenye bonde la rufiji (stiglas Gourge) hauitaji mvua)
2. umeme wa makaa ya mawe - Kiwira ipo tayari
3. umeme wa upepo
4. umeme wa mkonge
Kuna tetesi kwamba very very soon itawashwa (wako kikaoni sasa).... so is this thing planned?
kikao kipo mbioni kumalizika na kamati ya january makambako itatoa taarifa soon, ushindi kwa rostaaaam
khaaa Dowans gani tena..Mbona mwanaichanganya nyie wana !!! Dowans ipi??