January, Mnyika wapendekeza kutumika kwa mitambo ya Dowans kupunguza mgao wa umeme

@ all I have read ur argument and am amused at some and relieved @ others

To switch on Dowans is the most correct action we shall ever do, not only just on the interim but on longscale...it also improves voltage

Now whoever wants the nittygritty PM me but as Senior Eng I say viva Makamba na Mnyika!
 
ni ukweli ulio wazi sasa Kamati ya January italizia Dowans kuwashwa soon, masaa mawili yajayo mtapata habari kamili:embarrassed::embarrassed::embarrassed::embarrassed:
 
Maneno hayo angeyasema Zitto angeambiea msaliti kanunuliwa na RA
 
khaaa Dowans gani tena..Mbona mwanaichanganya nyie wana !!! Dowans ipi??
 
Nisesikia inavyopigiwa upatu na wanasiasa vilaza...kwamba oooh kwanini nchi ikae gizani wakati mitambo ya DOWANS ipo katika hali nzuri...oooh serikali iiombe DOWANS wawashe mitambo yao....oooh Serikali ikae chini na DOWANS....tumeshajua ukweli!
 
kikao kipo mbioni kumalizika na kamati ya january makambako itatoa taarifa soon, ushindi kwa rostaaaam
 
Issue hapa hasa ni nini? Je ni Makamba na Mnyika kuwa kwenye kamati moja? Ni Mnyika kuwa waziri kivuli na hivyo kuingia moja kwa moja kwenye kamati ya nishati na madini? Ni wabunge vijana kuwa kwenye kamati hiyo? Ni wao kuondoa tofauti zao kichama?

Kwa ufupi haueleweki unachotaka tuchangie hapa.

nashukuru kwa mchango wako wenye makengeza hata hivyo umechangia vizuri HONGERA;;sasa hapo hujaelewa nini kama wewe sio CCM??
 
Unajua hii nchi itakuwa sawa pindi tu wataalamu wataachiwa kufanya kazi zao na si wanasiasa.
Leo utasikia hiki kesho kile mpaka mtu unachanganyikiwa unabaki hoi kuona nini kitatokea.
Anywa only in Tanzania...
 
kweli rostam kichwa kaamua kuweka mgoa wa umeme nchi nzima ili mkampigie magoti sasa mnamuomba live muwashe kidogo giza limezidi hadi bungeni watanzania tujipe pole kwa hili
 
Mitambo ya Dowans ilitakiwa iwe imetaifishwa mapema na sasa iwe inapiga mzigo kwa maslahi ya taifa na wala kusingekuwepo kulipa mabilioni ya ICC.
Tukiendelea kuchekea nyani tutavuna mabua.
Mabadiliko hayaji kwa sababu viongozi wengi tunaowategemea wanafahamiana kwa muda mrefu au ni marafiki au ni washirika wa watuhumiwa wa ufisadi na hivyo huwaonea aibu au kuwasaidia kufanikisha mipango yao.
 
Quest: Who and where is Rostam?
Ans: In our Mind and Mouth!

Quest: Is he Real or Imaginary?
Ans: Not sure!
 
Kuna tetesi kwamba very very soon itawashwa (wako kikaoni sasa).... so is this thing planned?
 
ni ukweli ulio wazi sasa Kamati ya January italizia Dowans kuwashwa soon, masaa mawili yajayo mtapata habari kamili:embarrassed::embarrassed::embarrassed::embarrassed:
Ni nini mamlaka ya Kamati?
 
Wakiongea katika kipindi cha Jambo Tanzania cha TBC1 leo asubuhi, J.Makamba kama m/kiti wa kamati ya bunge ya nishati na madini na Mnyika kama waziri kivuli wa nishati, wamependekeza ni lazima maamuzi magumu yafanyike ili kuwezesha mitambo ya Dowans kuwashwa ili kupunguza makali ya mgao.

Kwa mujibu wa Makamba, mitambo ya dowans inazalisha MW 120 na itasaidia kupunguza makali ya mgao kwa 60-70%.Wote wametambua uwepo wa swala la dowans mahakamani.

Mnyika: Mnyika amependekeza sheria ya uhujumu uchumi itumike katka swala la dowans. Huku akisema kuwa hawezi kwenda deep zaidi, Mniyka alimaanisha kuwa mitambo ya Dowans inapaswa kutaifishwa sbb ya ukweli kuwa mkataba wa dowans/richmond ni wa kitapeli na huwezi kuwa na mgao wakati mitambo iko pale imezimwa.

Makamba: Makamba emependekeza kuwa usainiwe mkataba wa muda mfupi (hata wa miezi 3) na hao wenye mitambo ili kuwezeshwa mitambo kuwashwa maana kama hakutakuwa na mvua, basi Mtera itazimwa by March. Amependekeza uangaliwe utaratibu ambao hauta athiri kesi iliyopo

Wote wawili Mnyika na Makamba wameonyesha kuwa utakuwa ni uzembe na kichekesho kwa nchi kuingia gizani au kuathiriwa na mgao wakati iko mitambo ambayo imezimwa huku viongozi wa juu wakikaa kimya na kushindwa kuchukua maamuzi magumu.

Wadau hizi hoja mnazionaje?

These are very expensive sources and are not sustainable.We want them to use their upstairs more,so far sijaona,ni upuuzi tu unaoendelea.
 
Wakiiwasha na tukakaa kimyaa basi bongo zetu bado zimelala watz. Sipati logic ya kufanya hivyo, hii ni balaa kutoka Richmond hadi Downs na tena bado IPTL mzee wetu BWM alituachia kanyaboya lingine. January anafanikisha jambo, na litafanikiwa kwa kuwa ndo kazi yake.
 
Ati mnaiwasha tena? halafu mkiambiwa mlipie mamilioni mengine sijui mtaandamana tena! bongo bwana, kila kitu tambarare mweh!
 
kwa kweli haya mambo ya Dowans yananiumiza sana kichwa. hawa watu wanajua exactly kuwa TZ ina hela za kuchezea ndo maana wanacheza michezo yao ya ovyo. ilipokuwa inajadiliwa mitambo inunuliwe mwanzo walipinga sana wakijua kuwa kuna hela za bure watapata kabla ya mitambo yao kuanza kutumiwa. ni kweli. inabidi tuwalipe hela kwa kutotumia mitambo, then tuangalie ustaarabu kama tunataka kukodi au la................... sijui tutaamka lini? Inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom