January Makamba Top The List of Most Interactive Politician in Tanzania!

Angeweka kigezo na mguso, labla thread hii imeletwa na mwenye makengeza
A%20S%20cry.gif
 
Swali ni jee wote wanastahili hizo nafasi walizopangwa?. Kina nani walistahili na wameachwa?. Jee kina nani hawakustahili nafasi walizoshika au hata kuingizwa huku hawakistahili?.
Pasco,

Heading inasema the most "interactive politicians" in Tanzania. Key word hapo ni interaction kati ya hao wanasiasa na watumiaji wengine wa social media. Sidhani kama unaweza kusema mtu ni interactive kama anaweka status let say kwenye wall yake ya facebook na kusepa bila hata kujibu maswali ya wachangiaji. Huyo hatuwezi kusema ni interactive.

Interactive politicians sio yule anaye tweet au kubandika status kwenye wall na kusepa. Interactive politician sio yule aliye na followers na friends wengi. Interactive politician ni yule ambaye anachangia pia kwenye tweets au status za followers/friends wake. Ni yule ambaye anaongelea mambo ambayo hata hayahusiani na kazi yake. Ni yule ambaye anajichanganya.

Kama nilivyowahi kusema huko nyuma ni kwamba, kwenye social media information ina-flow horizontally na sio vertically. Lakini kwa wanasiana wetu wa kibongo wanadhani kuwa hata kwenye soacial media information ina-flow vertically, i.e. kutoka kwa mkubwa juu kwenda kwa mdogo chini. Ndio maana unakuta wanasiasa wengi kazi yao ni kuweka status tuu kwenye walls zao na kusepa. Hawajibu hoja, hawachangii kwenye status za watu wengine. Sasa nije kwa uliowataja.

January Makamba

Ni social media user mzuri. Ana-interact na watu na ukimwuliza maswali ya msingi anajibu.

Zitto Zuberi Kabwe

Ni social media user mzuri pia. Unaweza kudebate nae hard topics. Hana makuu kwenye social media.

Mohamed Dewji

I used to follow him facebook, lakini siku hizi nimeloose interest nae kidogo. Yuko a bit sensitive kujadili controversial issues. He is there na website pia ambayo ana-update frequently.

Nape Mnauye

Huyu huwa anabandika status kule facebook na kusepa. Sio interactive kabisa. Hata hapa JF huwa comments zake utadhani kama sio za mwanasiaa tena wa ngazi ya juu kabisa ya chama. Ni katibu mwenezi wa chama na mtu ungetajaria awe more interactive kwenye social media. Lakini ukiangalia posts zake za nyuma kabla hajapata hiki cheo alichonacho alikuwa mchangiaji mzuri sana.

Jakaya Kikwete

Huyu sidhani kama anaandika mwenyewe au ni wasaidizi wake, but he is there. Not interactive, lakini sijaona rais ambaye ni interactive kwenye social media. Lakini to be honest nilishawahi kumwuliza swali directly na akanijibu directly. Whether he was JK or his assistants who answered me, I don't know.

Halima Mdee

She is there mara nyingi namwona wakati kukiwa na issue kubwa ya kitaifa kwenye news.

John Mnyika

Huyu mjanja kidogo. Anatumia social media zaidi kuwasiliana na wapiga kura wake na kuwajulisha nini anakichofanya. Ana blogu pia ambayo ana-update mara kwa mara hasa kwenye shughuli zake za ubunge. Kuna mtu alianzisha thread hapa kulalamika Mnyika kutoshughulikia tatizo la maji Ubungo lakini kama alikuwa amecheki blogu yake angekuta kuwa the guy has been dealing with the problem since day one. Another way of using social media to communicate with your voters.

Ridhiwan Kikwete

Huyu kwangu sio mwanasiaa na sijui ameingiaje kwenye hii list.

Shyrose Bhanji

I don't follow her lakini naona huwa anachangia kwenye status za marafiki zangu. Inaonekana sio yule mtu wa kubandika status na kusepa.

Joshua Nasari.

Ndo nimenza kumfuatilia tokea apate ubunge. Too early to comment on him.

Kwenye hiyo list siwezi kusema, ni nani anastahili kuwa wa kwanza. Kuna vitu vingi sana vya kuangalia. Kuwa na followers au friends haina maana kuwa ni interactive. Wapo macelebrate wana followers hadi milioni 10 lakini sio interactive at all.

Lakini hiyo list nawezasema Makamba na Zitto wanastahili kuwa among the top five. Hata hivyo baadhi ya majina yameachwa kwenye hiyo list. Watu kama akina Hamisi kigwangalla, Dr Salaa, Tundu Lissu na wengine ni users wazuri tuu wa social media. Tukumbuke social social media sio Twitter na Facebook tuu. I fact waliotajwa kwenye hiyi list sio wachangiaji wakubwa wa social media za Kitanzania save for Zitto, Nape labda na kigwangalla.

Pia tukubali kuwa interactive sio lazima kukubaliana na views za wengine. Kwa mfano, nimeona watu wakiponda status za Hamisi kigwangalla Facebook lakini bado alikuwa ana-interact kwa kuwajibu. Katika uchaguzi uliopita, tuliona wanasiasa wengi wakiwa active sana kwenye social media. Baada ya uchaguzi wengi walingia mitini. Nafikiri kwenye uchaguzi ujao watakuwa hivyo hivyo.

To me a truly interactive politician in the social media alikuwa Regia Mtema (RIP). Hivi angekuwa hai angekuwa kwenye hiyo list?
 
- Unajua sometimes huwa sitaki lakini mnanilazimisha, sasa Tanzania kuna wanasiasa 10 maarufu bila Mbowe? ha! ha! ha! sasa na wewe unasema Mutuz Le Baharia The Biig Shoooww! ha! ha! ha!

William.

Pokea like ya text mkuumaana nko na cm..'Donyongijape like this'

yani eti mtu anamuacha nje Dr. Slaa..they cant be serious.
 
Ninaudhika nikiona mtu kavaa nguo za majani, yaani wee acha tu-natamani kijichimbia bila jembe ili kuficha kichwa hata kama mwili bakia nje
 
pelekeni jukwaa la utani faster.
hapa sichangii hata mnipe hela ila mkifikisha pale panapohusika na mimi nitakuwa na vicoment,hata ndugu yangu mento na hashcool mtawaona.
 
My understanding of interactivity being discussed is all form of media and communications. I'm not on twitter, facebook or any other form of so called social media to know for sure who on that list does well or not, but J. Makamba has a setup with his constituents in Bumbuli where they can text him free of charge and put forth any issues or concerns directly to him (or his staff, I doubt he has time to read all of them). As someone already raised the issue of how much internet access an average citizen has, but it is clear if we go by all forms of media and communications it easy to see why J. Makamba in on top of that list.
 
quote_icon.png
By Mohamedi Mtoi
Malecela anaingia kwenye orodha ya mabaharia. Le mutuz la mademuz.
le sintaz,le joketiz ,le totoz , le mademuz ..huyu jamaa nilitegemea awepo ..riziwani wamemuweka pale kujipendekeza tu hakuna lolote ..rizz hawezi kumzidi le mutuz
 
Katika hiyo list kuna watu watatu wameingia kwa sababu wamesurrender some of their secret JF IDs (names) to Clouds. Its true that they are among the top contributors in JF.
 
jamani umaarufu huu unaotafutwa sn na kijana JM tena kwa hoja ni mazalendo na clouds kumtangazia anaongoza kwenye social media anakimbilia wapi huyu? Au ndio nae ana zani atapata zali la kubebwa hadi urais??kwanza si ana certificate tuu huyu ya comflict resolution vp mbona zanzibar hajaonekana si nsio kazi zake???

Jamani ni swali tuu pengine mnaojua jitihada zake vzr anakimbilia wapi na kasi yake hiyo ya popularity....
 
Pasco,
Binafsi yangu sioni tatizo kabisa kwani January Makamba he is good way up there ktk interactive level. Sintojali UCCM wa mtu lakini sifa hii lazima tumpe yeye na Zitto wanastahili sana maana achilia mbali kuwepo mtandaoni, magazeti na Tv ukitazama hadi ktk majimbo yao wanasifika kwa hili.

Pengine mtu aloachwa hapa ni Dr Slaa na Le Mutuz ambaye naye kajiunga na siasa za Bongo kwa kishindo hivyo tusifanye kikorosho kana kwamba Makamba atapewa billioni kwa uchaguzi huo ama kuwakilisha Taifa huko UN. Fopr the Interactive politician? - The dude is good trust me, naamini pengine angeweza kuwa mshauri na waziri mzuri sana kwa serikali ya Jk...Am not a hater!
 
Ni mwanasiasa ila bado hakustahili kuingia kwenye top ten. Sio yeye tuu ambaye hastahili, hata No. 8 hakustahili kuwemo kwenye top ten!.

Usichanganye wanasiasa wa jf na wanasiasa wa ukweli. Mfano humu jf kuna vichwa hatari kwenye jukwaa la siasa ila kiukweli sio wanasiasa kabisa. Mfano ni mimi Pasco wa jf, huwa nina coment sana tuu kwenye jukwaa la siasa, lakini kiukweli mimi sio mwanasiasa kabisa, sina chama sio mshabiki, sio mfuasi na sijikombi kombi popote wala kwa yeyete!.

pasco ebu nifafanulie maana ya kujikombakomba ? mfano anapotoea mtu humu jf ama katika mtandao wowote akaamua kuandika kila shughuli ya dr slaa huyo ataitwa kuwa anajikomba ? mfano wewe ulipokwenda katika mkutano wa cdm pale jangwani na kuja na maoni yako inamaana kwamba unajikomba kwa cdm ? mimi ninachoamini kwa kila kitu ambacho binadamu utafanya duniani kuna nafasi ya zaidi ya asilimia 75 kuitwa unajikomba na upande tofauti.
 
Wanabodi,

Leo nimepata fursa ya kuangalia Top Ten ya Most Interactive Politicians in Social Media. Mhe. January Makamba ndio amekwaa No. 1!.

Hii ni kwa mujibu wa makala ya Top Ten iliyotangazwa na Clouds TV.

Wengine na positions zao ni kama ifuatavyo...
1. January Makamba
2. Zitto Zuberi Kabwe
3. Mohamed Dewji
4. Nape Mnauye
5. Jakaya Kikwete
6. Halima Mdee
7. John Mnyika
8. Ridhiwan Kikwete
9. Shyrose Bhanji
10. Joshua Nasari.

Swali ni jee wote wanastahili hizo nafasi walizopangwa?. Kina nani walistahili na wameachwa?. Jee kina nani hawakustahili nafasi walizoshika au hata kuingizwa huku hawakistahili?.

Pasco.

Januari makamba kuna kitu anakitafuta kwa nguvu sana,sijui kwanini
 
Pasco[/B],

Heading inasema the most "interactive politicians" in Tanzania. Key word hapo ni interaction kati ya hao wanasiasa na watumiaji wengine wa social media. Sidhani kama unaweza kusema mtu ni interactive kama anaweka status let say kwenye wall yake ya facebook na kusepa bila hata kujibu maswali ya wachangiaji. Huyo hatuwezi kusema ni interactive.

Interactive politicians sio yule anaye tweet au kubandika status kwenye wall na kusepa. Interactive politician sio yule aliye na followers na friends wengi. Interactive politician ni yule ambaye anachangia pia kwenye tweets au status za followers/friends wake. Ni yule ambaye anaongelea mambo ambayo hata hayahusiani na kazi yake. Ni yule ambaye anajichanganya.

Kama nilivyowahi kusema huko nyuma ni kwamba, kwenye social media information ina-flow horizontally na sio vertically. Lakini kwa wanasiana wetu wa kibongo wanadhani kuwa hata kwenye soacial media information ina-flow vertically, i.e. kutoka kwa mkubwa juu kwenda kwa mdogo chini. Ndio maana unakuta wanasiasa wengi kazi yao ni kuweka status tuu kwenye walls zao na kusepa. Hawajibu hoja, hawachangii kwenye status za watu wengine. Sasa nije kwa uliowataja.

Ni social media user mzuri. Ana-interact na watu na ukimwuliza maswali ya msingi anajibu.

Ni social media user mzuri pia. Unaweza kudebate nae hard topics. Hana makuu kwenye social media.

I used to follow him facebook, lakini siku hizi nimeloose interest nae kidogo. Yuko a bit sensitive kujadili controversial issues. He is there na website pia ambayo ana-update frequently.

Huyu huwa anabandika status kule facebook na kusepa. Sio interactive kabisa. Hata hapa JF huwa comments zake utadhani kama sio za mwanasiaa tena wa ngazi ya juu kabisa ya chama. Ni katibu mwenezi wa chama na mtu ungetajaria awe more interactive kwenye social media. Lakini ukiangalia posts zake za nyuma kabla hajapata hiki cheo alichonacho alikuwa mchangiaji mzuri sana.

Huyu sidhani kama anaandika mwenyewe au ni wasaidizi wake, but he is there. Not interactive, lakini sijaona rais ambaye ni interactive kwenye social media. Lakini to be honest nilishawahi kumwuliza swali directly na akanijibu directly. Whether he was JK or his assistants who answered me, I don't know.

She is there mara nyingi namwona wakati kukiwa na issue kubwa ya kitaifa kwenye news.

Huyu mjanja kidogo. Anatumia social media zaidi kuwasiliana na wapiga kura wake na kuwajulisha nini anakichofanya. Ana blogu pia ambayo ana-update mara kwa mara hasa kwenye shughuli zake za ubunge. Kuna mtu alianzisha thread hapa kulalamika Mnyika kutoshughulikia tatizo la maji Ubungo lakini kama alikuwa amecheki blogu yake angekuta kuwa the guy has been dealing with the problem since day one. Another way of using social media to communicate with your voters.

Huyu kwangu sio mwanasiaa na sijui ameingiaje kwenye hii list.
I don't follow her lakini naona huwa anachangia kwenye status za marafiki zangu. Inaonekana sio yule mtu wa kubandika status na kusepa.

Ndo nimenza kumfuatilia tokea apate ubunge. Too early to comment on him.

Kwenye hiyo list siwezi kusema, ni nani anastahili kuwa wa kwanza. Kuna vitu vingi sana vya kuangalia. Kuwa na followers au friends haina maana kuwa ni interactive. Wapo macelebrate wana followers hadi milioni 10 lakini sio interactive at all.

Lakini hiyo list nawezasema Makamba na Zitto wanastahili kuwa among the top five. Hata hivyo baadhi ya majina yameachwa kwenye hiyo list. Watu kama akina Hamisi kigwangalla, Dr Salaa, Tundu Lissu na wengine ni users wazuri tuu wa social media. Tukumbuke social social media sio Twitter na Facebook tuu. I fact waliotajwa kwenye hiyi list sio wachangiaji wakubwa wa social media za Kitanzania save for Zitto, Nape labda na kigwangalla.

Pia tukubali kuwa interactive sio lazima kukubaliana na views za wengine. Kwa mfano, nimeona watu wakiponda status za Hamisi kigwangalla Facebook lakini bado alikuwa ana-interact kwa kuwajibu. Katika uchaguzi uliopita, tuliona wanasiasa wengi wakiwa active sana kwenye social media. Baada ya uchaguzi wengi walingia mitini. Nafikiri kwenye uchaguzi ujao watakuwa hivyo hivyo.

To me a truly interactive politician in the social media alikuwa Regia Mtema (RIP). Hivi angekuwa hai angekuwa kwenye hiyo list?
Mkuu, EMT, kwanzavasante kwa ufafanuzi huu very objective wenye good insight, nilisema sikujua vigezo Clouds TV walivyotumia ila pia lazima nikiri uwezo hafifu wa wanahabari wetu katika kufanya media survey au news analysis .

Hii uliyoiweka na jinsi ulivyochambuahata mimi imenifungua macho, ila pia lazima nikiri sikujua ni kwa nini mtu kama nafasi ya 8 ameingia na mtu kama Dr. Slaa hayupo!, au mt u kama Mdee ameshika nafasi ya juu kuliko JJ. Nnyika!.

All and all Clouds played their part.
Pasco
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Aliyekutuma amekudanganya. Hata kama hao uliowapendekeza hawafai na kama wanafaa ni kwako na wenzako lakini siyo watanzania. Inaonyesha wewe ni fisadi wa kunuka.
 
Back
Top Bottom